Na hata akienda ila hawezi kupata mapenzi ambayo alikuwa anapata akiwa SimbaWanamtamani kweli yaanView attachment 2223539
Yanga wanafalsafa za yesuKama timu ilitumia mamilioni ya fedha kumshitaki yeye akawagaragaza, halafu mnamrudisha viongozi ni walewale , unadhani kuna mtu atamkoromea? Si atakuwa anapanga hadi kikosi mwenyewe na ule ujinga wa kusimama juu ya mipira badala ya kufunga aliokuwa amezuiwa kule simba si atarudia? Vipi kuhusu lile busha?
Wasemehe vipi wakati wao ndio waliomkosea hadi mahakama ikathibitisha?Yanga wanafalsafa za yesu
Samehe 7x70
Mkuu mzungu sio rangi ni race. Kama ni rangi basi hata Haji Manara nae ni mzunguMO sio mzungu?
Ana magoli na assist ngapi msimu huu mnamkuza sanaHakuna winga kama Morrison hapa Tanzania . Morrison mmoja ni sawa na Sakho 5+Moloko8+Farid13 changanya na Ngushi hamsini
Acha arudi tu
Ubora wake upo wapi naomba takwimu zakeHakuna winga anaefikia ubora wa Morrison hapa Bongo
Hakuna adui wa kudumu kwenye Maisha ya mpira
Manara anahusika vipi na ubingwa ? Ni kocha au anacheza number ngapi mbona alikua Simba ile ya miaka 5 bila kombe lolote?Kweli ila endapo timu itakuwa na mwennendo mzuri
Ukimya wa mashabiki wa Yanga kutosema chochote kwa ujio wa manara umechangiwa na timu yao kuwa na perfomance inayo ridhisha
Lakini ukitaka kuona uadui wa kudumu upo, itokee siku simba kachukua huu ubingwa.
Nadhani hatua hiyo haitakuridhisha hata wewe, na hapo moja kwa moja manara atakuwa na moments ngumu ambazo hajawahi face kwenye carrier yake
Acha sifa za kijinga wewe huyo Mo nae si mswahili tu? Kuna point umeiongea hapo juu ila tatzo umenyoosha kidole kwa Yanga tu wakati hyo tabia ya kufanya jambo hata km halina maslahi ili kumkomoa tu mtani ipo pande zote usiitenge timu yako unakumbuka kpnd mnamchukua huyu chizi? Ajib? Beno? Gadiel? Ndivyo zilivyo hz timu zote takataka hakuna yenye uafadhali waka ueledi binafsi Morrison angefungiwa vioo na timu zote aende zake yeye nani? Kuna wachezahi kibao wakali afrika hii anaweka benchi mpuuzi yule ila kwa kua tunawaza kukomoana Yanga watamchukua ila tupo mashabiki ambao hatujafurahia ila hatuna cha kufanya hatuchangii chochote paleMO sio mzungu?
Hakuna adui wa kudumu katika maisha ya mpira mkuuHapa ndipo huwa nashindwa kuwaelewa Mashabiki wa Yanga .
1.Manara aliwatukana na kuwaita hamnazo yaani wajingawajinga tu isipokuwa baba yake na mstaafu Kikwete . Lakini baadae wakamsajili na kumtakasa kuwa ni mtu Safi.
2. Morisoni kawaendesha hadi cas na kuwaita matapeli wanaghushi saini .kawatia hasara kubwa ya kuendesha kesi takribani mwaka na miezi.Leo mtu anathubutu kukwambia hakuna adui wa kudumu kwenye mpira.
4. Mbaya zaidi morisoni kamchoma shabiki mwenzao na bisibisi , leo wamemsaliti mwenzao wanamsafisha morisoni kuwa ni bonge la mchezaji anastahili kuwa Yanga .
Kwa kifupi huu sasa ndiyo ule Ujinga aliokuwa akiusema Manara .Kwa hili Yanga hamna pa kutokea juu ya kauli ya Manara ya kuwaita wajinga.
Anyway , tusilaumu Sana juu ya hili Maana huwezi kuwa shabiki wa Yanga bila kuwa mjingamjinga.
Labda kama umeanza kufatilia Mpira katika kipindi.......Cycle ya mpira haipo kama ww unavyotaka iweNimekutunuku na like ya upumbavu. Enjoy your life[emoji16]
Nenda katoe pesa zako pale klabuni ili tufanye usajili Wa wachezaji bora kutoka AfrikaJ
yale maneno ya kuwa Yanga tuna tatizo la akili naliona linaukweli aisee.
Morrison kawapotezea muda viongozi wa Yanga.
Morrison kaiaibisha klabu ya Yanga kwa kuonekana klabu inamng'ang'ania wakati yeye kawakataa.
Morrison kaipotezea Yanga pesa kwa kufungua kesi CAS
Morrison kauumbua uongozi wa Yanga kuwa ni waongo na wababaishaji.
Mbali na hiyo tabia ya Morrison inajulikana kuwa ana tabia za hovyo. Hivi Africa nzima inamaana hakuja mchezaji anayemzidi au kulingana kipaji na uwezo Morrison?
Kwa akili za mashabiki kama wewe ni ngumu sana Yanga kupata mafanikio katika soka la Africa. Mashabiki wapumbavu na waswahili, huzalisha viongozi wapumbavu na waswahili pia.Nenda katoe pesa zako pale klabuni ili tufanye usajili Wa wachezaji bora kutoka Afrika
Wenye pesa zao GSM wakimtaka,watamnunua na atakuja kucheza Yanga Mzee na wala usiwe na makasiriko sana na uzuri aliyemleta hapa nchini alikuwa ni Eng.Hersi mwenyewe
Don't panic and stay in your lane kid
Hayo maswali unaonaje angeulizwa na mapresenter walio host ile interview ambapo alisema amekuja Yanga atafanya kazi kama punda kuhakikisha mpaka wanachukua ubingwa?Manara anahusika vipi na ubingwa ? Ni kocha au anacheza number ngapi mbona alikua Simba ile ya miaka 5 bila kombe lolote?
Hapana nimeongea kwa kuhusisha pande zote mbili kuwa wanayo hiyo kasumbaAcha sifa za kijinga wewe huyo Mo nae si mswahili tu? Kuna point umeiongea hapo juu ila tatzo umenyoosha kidole kwa Yanga tu wakati hyo tabia ya kufanya jambo hata km halina maslahi ili kumkomoa tu mtani ipo pande zote usiitenge timu yako unakumbuka kpnd mnamchukua huyu chizi? Ajib? Beno? Gadiel? Ndivyo zilivyo hz timu zote takataka hakuna yenye uafadhali waka ueledi binafsi Morrison angefungiwa vioo na timu zote aende zake yeye nani? Kuna wachezahi kibao wakali afrika hii anaweka benchi mpuuzi yule ila kwa kua tunawaza kukomoana Yanga watamchukua ila tupo mashabiki ambao hatujafurahia ila hatuna cha kufanya hatuchangii chochote pale