Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Wee,sema kweli?Asanteni sana Chadema.
Hakika Chadema ni mpango wa mungu 😎
Safi sana. Huyo dogo kuna uwezekano ana karama ya uongozi.Shadrack Chaula (24) ameachiwa huru leo Julai 8, 2024 baada ya kulipa faini ya Tsh. Milioni 5 ikiwa ni siku chache tangu alipohukumiwa kifungo cha Miaka Miwili jela au kulipa Faini hiyo kwa kosa la kutoa taarifa za uongo Mtandaoni.
Chaula ambaye ni Msanii wa Sanaa ya Uchoraji, Julai 2, 2024 alionekana kupitia kipande cha video akichoma moto picha wakili wakisema kuwa hakuna sheria iliyovunjwa katika kuchoma picha hiyo.
Bado tuko imaraAsanteni sana Chadema.
Hakika Chadema ni mpango wa mungu 😎
Si ndiooooo 😂🤣🤣🤣Wee,sema kweli?
Hakika kakoseaMimi siungi mkono mtu kukaa jela kwa kosa kama hili,lakini alichokifanya Artist Chaula sio jambo la kupongezwa.
Hata kama ni freedom speech,hii imezidi.
Leo wanaanza kuchoma picha za Viongozi Ili kufikisha ujumbe,wanashangiliwa na jela wanatolewa.
Kesho watachoma ofisi za umma kufikisha ujumbe.
Wakiona bado hawasikilizwi watajichoma moto wenyewe kufikisha ujumbe(yolsa).
Hiyo ndio freedom of speech,ukimruhusu mtu aingie chumbani kwako bila kugonga hodi next time utamkuta kitandani kwako amelala.
Nan huyo...kuliko hata aliyeuwa hadharani..!????
Sasa kuchoma ofisi si ni kosa la jinai? CCM wanapenda mabumunda kama nyinyi...mtu una uwezo wa kusoma na kuandika tu baasiMimi siungi mkono mtu kukaa jela kwa kosa kama hili,lakini alichokifanya Artist Chaula sio jambo la kupongezwa.
Hata kama ni freedom of speech,hii imezidi.
Leo wanaanza kuchoma picha za Viongozi Ili kufikisha ujumbe,wanashangiliwa na jela wanatolewa.
Kesho watachoma ofisi za umma kufikisha ujumbe.
Wakiona bado hawasikilizwi watajichoma moto wenyewe kufikisha ujumbe(yolsa).
Hiyo ndio freedom of speech,ukimruhusu mtu aingie chumbani kwako bila kugonga hodi next time utamkuta kitandani kwako amelala.
Mimi nadhani dhumuni la adhabu ni kukomesha kosa kama Hilo lisifanyike tena.Mbona picha za Rais zinachomwa Kila cku mama ntilie wakiwashia moto Kwa kutumia magazeti yenye picha yake?
Mbona hawakamatwi?
Mbona picha za Rais zinachomwa Kila cku mama ntilie wakiwashia moto Kwa kutumia magazeti yenye picha yake?
Mbona hawakamatwi?
Serious Uonevu huu!
Nadhani kabla ya kukata rufaa mungempelea kwa Daktari bingwa wa magonjwa ya akili akampime afya ya akili.Shadrack Chaula (24) ameachiwa huru leo Julai 8, 2024 baada ya kulipa faini ya Tsh. Milioni 5 ikiwa ni siku chache tangu alipohukumiwa kifungo cha Miaka Miwili jela au kulipa Faini hiyo kwa kosa la kutoa taarifa za uongo Mtandaoni.
Unataka kuniambia Arson ni kosa la madai?Sasa kuchoma ofisi si ni kosa la jinai? CCM wanapenda mabumunda kama nyinyi...mtu una uwezo wa kusoma na kuandika tu baasi
. Ni kama vile umejaza mavi kwenye ubongo