Shadrack Chaula, aliyechoma picha ya Rais Samia aachiwa kutoka Gerezani
Shadrack Chaula (24) ameachiwa huru leo Julai 8, 2024 baada ya kulipa faini ya Tsh. Milioni 5 ikiwa ni siku chache tangu alipohukumiwa kifungo cha Miaka Miwili jela au kulipa Faini hiyo kwa kosa la kutoa taarifa za uongo Mtandaoni.
a utata wa kisheria, huku baadhi ya mawakili wakisema kuwa hakuna sheria iliyovunjwa katika kuchoma picha hiyo.
Mkuu wa mkoa wa mbeya RC JUMA HOMERA kwani anasemaje mpaka??? muda huu🤔🤔🤔 uyo inabidi akamatwe tena awekwe ndani ajifunze kuwa sio vizuri kuchoma picha hadharani kwani angechomea vichochoroni nani angemkamata

Dharau mwisho sasa
 
Shadrack Chaula (24) ameachiwa huru leo Julai 8, 2024 baada ya kulipa faini ya Tsh. Milioni 5 ikiwa ni siku chache tangu alipohukumiwa kifungo cha Miaka Miwili jela au kulipa Faini hiyo kwa kosa la kutoa taarifa za uongo Mtandaoni.
Wananchi wanajaribu kuonesha chuki yao juu ya yule
 
Mimi siungi mkono mtu kukaa jela kwa kosa kama hili,lakini alichokifanya Artist Chaula sio jambo la kupongezwa.
Hata kama ni freedom of speech,hii imezidi.
Leo wanaanza kuchoma picha za Viongozi Ili kufikisha ujumbe,wanashangiliwa na jela wanatolewa.
Kesho watachoma ofisi za umma kufikisha ujumbe.
Wakiona bado hawasikilizwi watajichoma moto wenyewe kufikisha ujumbe(yolsa).
Hiyo ndio freedom of speech,ukimruhusu mtu aingie chumbani kwako bila kugonga hodi next time utamkuta kitandani kwako amelala.
Hata hujui unaandika kuhusu nini...

Hebu tazama na sikiliza vizuri hiyo video ya huyu dogo...

Hakuna tusi lolote hapo..

Anachopaswa kufanya huyo tunayeambiwa ni "Rais Samia" ni kujitokeza na kujitetea kwa kujibu hoja za kijana, mwananchi wake...

Huyu anayeitwa "Rais Samia" katika video hiyo anatuhumiwa kuchochea vitendo vya ushoga na usagaji . Ameshindwa kusimama na kulitetea taifa lake..

Raia wake huyu kachoshwa na hali hii. Hatamani hata kuiona picha yake hiyo (ambayo in fact kaichora mwenyewe). Hadaiwi na mtu...

Kosa lake liko wapi hapo

Huyu Rais Samia na watu wake na CCM yake yote wanasumbuliwa na ugonjwa unaoitwa kwa kimombo kama "FEAR OF REJECTION"...

Wana hofu kubwa na hatima yao kwa sababu ya kukataliwa na wananchi. Wanatumia nguvu kulazimisha kukubalika na kupendwa..!

Hilo haliwezekani!
 
Dogo mpuuzi sana huyo,kama hawezi kuheshimu kama rais amheshimu kama mtu aliyemzidi umri na anayefanana umri hata pengine kumzidi mama yake.
 
"Demokrasia nzuri ni ile inayoheshimu mila, desturi na tamaduni za jamii husika"

SYB, 2024 😁🖐
Sio kweli,
Africa sehemu nyingi zisingekuwa na viongozi wanawake
Leo hii Ufaransa bado ingeendelea kuwa na wafalme miungu watu
Marekani isingeachana na absolute monarchy.
 
Hata hujui unaandika kuhusu nini...

Hebu tazama na sikiliza vizuri hiyo video ya huyu dogo...

Hakuna tusi lolote hapo..

Anachopaswa kufanya huyo tunayeambiwa ni "Rais Samia" ni kujitokeza na kujitetea kwa kujibu hoja za kijana, mwananchi wake...

Huyu anayeitwa "Rais Samia" katika video hiyo anatuhumiwa kuchochea vitendo vya ushoga na usagaji . Ameshindwa kusimama na kulitetea taifa lake..

Raia wake huyu kachoshwa na hali hii. Hatamani hata kuiona picha yake hiyo (ambayo in fact kaichora mwenyewe). Hadaiwi na mtu...

Kosa lake liko wapi hapo
View attachment 3036798
Huyu Rais Samia na watu wake na CCM yake yote wanasumbuliwa na ugonjwa unaoitwa kwa kimombo kama "FEAR OF REJECTION"...

Wana hofu kubwa na hatima yao kwa sababu ya kukataliwa na wananchi. Wanatumia nguvu kulazimisha kukubalika na kupendwa..!

Hilo haliwezekani!
Sasa kama wewe umeamua kuliwa makalio yako huyo Samia atakuzuiaje? Mitaani mashoga tunawaona je tunachukua hatua gani?.

Kiserikali najuwa kuna sheria dhidi ya vitendo vya kishoga ambayo mwananchi akibainika anafanya vitendo hivyo kifungo miaka 30.

Mnataka Rais Samia afanyeje zaidi ya hapo?
 
Hata hujui unaandika kuhusu nini...

Hebu tazama na sikiliza vizuri hiyo video ya huyu dogo...

Hakuna tusi lolote hapo..

Anachopaswa kufanya huyo tunayeambiwa ni "Rais Samia" ni kujitokeza na kujitetea kwa kujibu hoja za kijana, mwananchi wake...

Huyu anayeitwa "Rais Samia" katika video hiyo anatuhumiwa kuchochea vitendo vya ushoga na usagaji . Ameshindwa kusimama na kulitetea taifa lake..

Raia wake huyu kachoshwa na hali hii. Hatamani hata kuiona picha yake hiyo (ambayo in fact kaichora mwenyewe). Hadaiwi na mtu...

Kosa lake liko wapi hapo
View attachment 3036798
Huyu Rais Samia na watu wake na CCM yake yote wanasumbuliwa na ugonjwa unaoitwa kwa kimombo kama "FEAR OF REJECTION"...

Wana hofu kubwa na hatima yao kwa sababu ya kukataliwa na wananchi. Wanatumia nguvu kulazimisha kukubalika na kupendwa..!

Hilo haliwezekani!
Hao mashoga na wasagaji mlitaka huyo "Rais Samia" awafanye nini?
Awakamate,wafungwe jela au awauwe wote?
Kuna Haki za Binadamu za kuzingatia kwenye Hilo.Hukurupuki tu kupambana na ushenzi wa watu wanaofanya vyumbani mwao na kwa ridhaa zao wenyewe.
Kuna Rais gani hapa Nchini amewahi kupambana na ushoga na usagaji akaumaliza?
Huyo "Rais Samia" aweze ana maajabu gani?
 
Screenshot_2024-07-08-18-45-20-1.png

Nikiwa ni Miongoni mwa Wadau walioendesha kampeni ya kuhamasisha michango (JF WING) ya kumsaidia Shujaa Shadrak kulipa faini ya Mahakama, kutokana na hukumu ya Mahakama kwa kosa la kuipiga kiberiti karatasi iliyodaiwa kuwa ni picha ya Rais wa Tanzania Nawashukuru wote mliotoa michango ya Hali na Mali ili kumuokoa kijana huyu kwenye Jela ya Uonevu .

Pamoja na kuchoma picha hiyo, Shadrak alituhumiwa kulalamikia Ugumu mkali wa Maisha Nchini Tanzania, jambo ambalo Viongozi walioshiba waliona ni Uchochezi.

Kwa niaba ya Waratibu wote wa Michango kote mitandaoni nasema asanteni wote mliomrudishia tena Uhuru wake kijana huyu, hii ni kwa sababu mmetenda kama vile alivyoagiza Mungu, na kwa sababu hii Mungu atawarudishia mara 100 zaidi.

Screenshot_2024-07-08-18-26-55-1.png

Tukio hili ni Funzo la Faraja kwa wote wanaoonewa kutokana na "udogo" wao kwenye jamii na ni fundisho kwa viongozi wanoko, kwamba, si kila matakwa yao yaweza kutimia, kuna mengine yatakataliwa na Mungu na visasi vyake vitawarudia wenyewe haraka iwezekanavyo.

Sasa ni dhahiri kwamba HAKUNA MAHALI POPOTE KWENYE DUNIA HII AMBAKO SHETANI ALIWAHI KUMSHINDA MUNGU
 
Mimi siungi mkono mtu kukaa jela kwa kosa kama hili,lakini alichokifanya Artist Chaula sio jambo la kupongezwa. Hata kama ni freedom of speech,hii imezidi.

Leo wanaanza kuchoma picha za Viongozi Ili kufikisha ujumbe,wanashangiliwa na jela wanatolewa.
Kesho watachoma ofisi za umma kufikisha ujumbe.

Wakiona bado hawasikilizwi watajichoma moto wenyewe kufikisha ujumbe(yolsa).
Hiyo ndio freedom of speech,ukimruhusu mtu aingie chumbani kwako bila kugonga hodi next time utamkuta kitandani kwako amelala.
Umeongea point,. Freedom of speech isiwe ni chanzo Cha dharau Kwa wakubwa wako
 
Kuna RC huko amelaaiti Hadi Leo kesi Bado,

Mwingine yule Naibu Wazirialiosababisha kifo Cha mwanafunzi wa Udom Hadi Leo kimya.

Kijana isingekuwa wasamaria WEMA, angechakaa jela!!
 
Yaani na bado mmemtoa tena chapu chapu hata mwezi bado dah [emoji51][emoji51] hii inaleta picha kuwa tukio lile halija migusa haya sawa [emoji41] basi mnunulieni hata boda boda na nguo mpya basi
Pamoja na wazo lako, Tunapaswa kuilazimisha Serikali kuhakikisha Maisha ya Wananchi wote wa Tanzania yanakuwa Bora na yenye hadhi ya Binadamu, hatuwezi kuwakwamua watu wetu kwa kuwanunulia Bodaboda
 
Back
Top Bottom