Quite irrelevant.
 
Pesa hizo haramu zisichanganywe na kodi zetu zipelekwe CCM wakafanyie kampeni.
 
Nothing to add, point taken 🫑
 
Dogo mpuuzi sana huyo,kama hawezi kuheshimu kama rais amheshimu kama mtu aliyemzidi umri na anayefanana umri hata pengine kumzidi mama yake.
Wewe ndo mpuuzi na inaonekana either huna akili au unaandika ujinga kwa makusudi kulinda β€œstatus quo”

Uongozi wa umma hauko hivyo.

Huyo ni mtumishi wa umma na analipwa kwa kutumia kodi zetu.

Kuchoma picha yake siyo sawa na wewe kuchoma ya mamako.
 
Sio kweli,
Africa sehemu nyingi zisingekuwa na viongozi wanawake
Leo hii Ufaransa bado ingeendelea kuwa na wafalme miungu watu
Marekani isingeachana na absolute monarchy.

Na Wamarekani wasingekimbia na demokrasia yao mfukoni kutoka Iraq na Afghanistan!

➑️➑️➑️ Hukunielewa. Ungetuliza akili ukanielewa usingesema ulichosema......
 
Imekaa vyema 🐸 kiziwi anakera
 
Kwa hiyo chura kiziwi anajisikiaje?

Nmeona jana hata BBC engelish wameandika
 
Pamoja na wazo lako, Tunapaswa kuilazimisha Serikali kuhakikisha Maisha ya Wananchi wote wa Tanzania yanakuwa Bora na yenye hadhi ya Binadamu, hatuwezi kuwakwamua watu wetu kwa kuwanunulia Bodaboda
Sasa kama mtu elimu yake ni ndogo na hana taaluma yoyote tumpe nn kama sio boda boda au Sindano ashone viatu
 
Hivi huyu chalii alihukumiwa kwa kosa gani? Kama kuna mtu anaweza kushare hapa nakala ya hati ya mashtaka au hukumu yake nitashukuru
 
Yule RC mfiraji hukumu yake lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…