Mkuu hapa kwa nilivyofuatilia hili jambo raia sio kwamba wamefurahishwa au hata kukasirishwa kwa kuchomwa kwa picha hiyo.
Watu wamekasirishwa kwa kitendo cha Serikali kuonekana kufuatilia vitu vidogo vidogo sana wakati kuna matatizo makubwa sana ambayo yamefungiwa macho mfano ubadhirifu unaoibuliwa na CAG kila mwaka.
Serikali ingeachana na mambo madogomadogo kama hayo huyo kijana kama sio RC wa mbeya kukurupuka na kutaka akamatwe habari yake hata isingesambaa.
Huko mitandaoni mbona watu wanapost mambo ya ajabu ajabu na wala hawafuatiliwi.
Baadhi ya viongozi liwe fundisho kwao waache kukurupuka kama hii ishu ya huyu kijana imewapa sintofahamu wenye mamlaka kwamba wananchi wameamua kumchangia fedha kwamba wamefurahia kitendo cha huyo kijana kuchama picha ya Rais wao.
RC wa mbeya ujue umekurupa na umemdhalilisha Rais na bosi wako kwa kuweka wazi kwamba wananchi wengi hawampendi hadi wanafurahi kuchomwa kwa picha yake
 
Ninamtakia kila la heri katika kesho yake...hiyo ilikuwa ni initiation kwenye uanarakati
 
Ujasiri wake unatakiwa sana kwenye Taifa hili ambalo asilimia kubwa ya Vijana wake wamefanywa Mazezeta wa Mama.
 
Kosa wamesema ni maneno aliyaongea wakati anachoma hiyo picha
 
Hongera sana, MWAMBA. Umeandika historia mpya kama kama yule Bwana aliyemtandika na viatu George Bush kule Iraq.
 
Suala huu Ushoga anaopigia kelele kwani umeanza Hii miaka 3 ya Rais Samiha au Kuna agenda nyingine
Rais yupo na atukuwepo MUNGU Ndio anjuwa mwisho wake
 
Uko sahihi kabisa kuwa si wote hawampendi huyo uliyemtaja, ila asilimia kubwa hawampendi.
 
Ni jambo jema, kila la heri kwake.
 
Hakuwa na kosa alichoshwa kama Watanzania wengine kwa jinsi nchi inavyoendeshwa. Kwa kweli tumeichoka CCM.
 
Mungu mwenye mamlaka yote, tunakuomba uwajalie neema zako zote waliompunguzia maumivu kijana huyu. Na aibu awavae wote waliokusudia kumtesa na kumwangamiza.
 
Mchango wangu ilikua n sehemu y yy kutoka.viva!!! Si haba!!








KAZI ni kipimo cha UTU
 
nawaza raisi hapo anajiskiaje tena akijua pesa ya faini imechangwa chap kwa haraka dogo katoka bila shida...😂😂😂 chawa wa mama hapo wanatamani wajinyee misumari
Wataanza kuhukumu bila kuweka kifungu cha faini 😂.
 
Safi sana. Huyo dogo kuna uwezekano ana karama ya uongozi.
Akachome picha nyingine, mazombi wenzake wenye Hela za kumlipia faini wapo kibao , hata jela wapo tayari kufungwa pamoja ikibidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…