Shaffih Dauda: Hatuna timu yenye uwezo wa kubeba ubingwa wa Afrika kwenye nyanja zote, huo ndio ukweli

Orlando pirates ni team kubwa lakini sio team kubwa Africa team kubwa Africa kila mwaka wako CAF champions league hawachezi Confedaration. Kushinda mechi za nyumbani hazikufanyi ukawa mkubwa team kubwa ni ile inapata matokeo kwenye hali ya lazima kupata matokeo kama ulivyoona Al Ahly na Raja ule ndio ukubwa. Kuna team toka huko Kosovo walimfunga Real kwao haiwapi nafasi kuwa wakubwa. Hata team kubwa huwa zinafungwa hata ulaya lakini kila mwaka unawakuta Champions league. Simba na Yanga kwa ukubwa wao hapa nchini walitakiwa kila mwaka wako katika makundi sio kuchukuwa ubingwa lakini kupigana katika makundi ya klabu bingwa sio confideration cup huko ni kwa kina Namungo sio Simba na Yanga. Sasa kama team 2 kubwa zetu zinatolea katika round za kwanza ndio utajuwa level yetu.
 
Hayo matikiti ya mo ndio yako katikati?. Akitembea tu mo tayari yamepoteana,. Tikiti halina hata kiwanja liko katikati kurudi nyuma?
 
Hayo matikiti ya mo ndio yako katikati?. Akitembea tu mo tayari yamepoteana,. Tikiti halina hata kiwanja liko katikati kurudi nyuma?
Mbona unaongea kama vile una fangus makalioni?

Kwahiyo Pale Yanga Sc akiondoka GSM mnabaki na ninni?

Mazembe akiondoka Katumbi inabaki nini, huoni tangu katumbi aathirike kisiasa hata Mazembe imeshuka?

Motsepe akiondoka Mamelod kutabaki nini?

Mabumunda ya Yanga bwana😄😄
 
Fangas za makalioni ndio zikoje?. Mikiani kweli kuna wagonjwa. Mmejaa panick,waume zenu wana kazi kuwatuliza
 
Fangas za makalioni ndio zikoje?. Mikiani kweli kuna wagonjwa. Mmejaa panick,waume zenu wana kazi kuwatuliza
Wewe ndo yule shabiki wa Yanga uliyetaka Mayele akuchukue?
 
Wakati mwingine huwa mtu anahitaji kuwa na bahati tu.
 
Simba haina uwezi wa kufika Nusu fainali, wakati yanga haina uwezo wa kufika hata hatua ya Makundu. Yes ni lazima tuukubali huu ukweli.
Typing Error ,nyingine....
😄😄😂😄 eti hatua ya makun...
 
Kwenye mpira kwanin isiwezekane wangapi wamechukua makombe timu zao zikiwa dhohoful hali.. Wigan sijui nani sikumbuki katwaa fa huku anashuka daraja.
Yah nikweli kabisa sheikh,,,mfano Real betis jana ametoka kuchukua ubingwa copa del rey,,, amemtoa valencia.
 
Akili zako zinafanana na pp yako, mbona sisi MAKOLO huwa tunashangilia kuwa wasindikizaji bora tu miaka yote tukiishia njiani lakini bado tunajiona tuna timu bora kuliko Real Madrid kihisia kumbe kiuhalisia ni Majimaji FC iliyochangamka [emoji848][emoji16]
 
Makolo yaliambiwa yakashupaza shingo, kiko wapi?
Mnakejeli kana kwamba jana Utopolo ndiyo mlishinda kwa kuifunga Simba, kumbe mnaandika ili muonekana mnajua kukejeli.
 
Shafih kacheza mpira japo level za chini daraja la kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…