Shahada ya heshima kwa Rais Samia sio sawa

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Inashangaza mno kuona rais Samia akitunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa uchumi na chuo kikuu cha Dar es Salaam ilhali nchi ndio kwanza imeghubikwa na hali ngumu ya uchumi kila upande.

Hakuna umeme
Hakuna maji
Mbolea haipatikani
Hakuna ajira
Tozo zimezidi
Deni la taifa linaongezeka
Kasi ya ukuaji wa uchumi imeshuka
Hali ya maisha imezidi kuwa ngumu

Je huo udaktari wa heshima ni ajili ya dhahama hizi?!

Kama anapenda na yeye aitwe “doctor “ kwanini wasingemgawia udaktari wa Kiswahili tu?
 
Una hoja
 
Kwani hakuna shahada ya mikopo?
 
1. Uchaguzi wa ndani wa ccm umekidhiri RUSHWA kuanzia ngazi ya Tawi hadi Taifa.
2. Serikalini Rushwa ni wimbo wa kawaida kwa sasa.
3. Mfumko wa bei ni 100%
4. Miradi aliyoiacha JPM inaninginia hewani .
5. Vyama vya upinzani vinechoka na kauli zake
6. Wanawake nchini wamemchoka.
 
Katiba ibadilishwe ili Rais awe ni Phd holder.

Vinginevyo nafasi muhimu serikalini zitatolewa kwa wale wenye nafadi ya kumpatia Rais asiye na Phd apewe Phd
 
Inashangaza mno kuona rais Samia akitunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa uchumi na chuo kikuu cha Dar es Salaam ilhali nchi ndio kwanza imeghubikwa na hali ngumu ya uchumi kila upande.

Hakuna umeme
Hakuna maji
Mbolea haipatikani
Hakuna ajira
Tozo zimezidi
Deni la taifa linaongezeka
Kasi ya ukuaji wa uchumi imeshuka
Hali ya maisha imezidi kuwa ngumu

Je huo udaktari wa heshima ni ajili ya dhahama hizi?!

Kama anapenda na yeye aitwe “doctor “ kwanini wasingemgawia udaktari wa Kiswahili tu?
Umesahau kwamba siku hizi maprofesa wanatolewa kutoka vyuo vikuu na kupewa mavyeo makubwa ya kitaifa hadi uwaziri? Kwa hiyo yawezekana kuna watu wametega TEUZI hapo.
 
Back
Top Bottom