Inashangaza mno kuona rais Samia akitunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa uchumi na chuo kikuu cha Dar es Salaam ilhali nchi ndio kwanza imeghubikwa na hali ngumu ya uchumi kila upande.
Hakuna umeme
Hakuna maji
Mbolea haipatikani
Hakuna ajira
Tozo zimezidi
Deni la taifa linaongezeka
Kasi ya ukuaji wa uchumi imeshuka
Hali ya maisha imezidi kuwa ngumu
Je huo udaktari wa heshima ni ajili ya dhahama hizi?!
Kama anapenda na yeye aitwe “doctor “ kwanini wasingemgawia udaktari wa Kiswahili tu?