Ingefaa apewe shahada ya Kiswahili cha ZanzibarWe ulipendekeza apewe shahada ya nini mkuu?
Diuuuh yaan shahada ya Usekeretariati au Masijala?Ingefaa apewe shahada ya Kiswahili cha Zanzibar
Una hojaInashangaza mno kuona rais Samia akitunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa uchumi na chuo kikuu cha Dar es Salaam ilhali nchi ndio kwanza imeghubikwa na hali ngumu ya uchumi kila upande.
Hakuna umeme
Hakuna maji
Mbolea haipatikani
Hakuna ajira
Tozo zimezidi
Deni la taifa linaongezeka
Kasi ya ukuaji wa uchumi imeshuka
Hali ya maisha imezidi kuwa ngumu
Je huo udaktari wa heshima ni ajili ya dhahama hizi?!
Kama anapenda na yeye aitwe “doctor “ kwanini wasingemgawia udaktari wa Kiswahili tu?
Inashangaza mno kuona rais Samia akitunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa uchumi na chuo kikuu cha Dar es Salaam ilhali nchi ndio kwanza imeghubikwa na hali ngumu ya uchumi kila upande.
Hakuna umeme
Hakuna maji
Mbolea haipatikani
Hakuna ajira
Tozo zimezidi
Deni la taifa linaongezeka
Kasi ya ukuaji wa uchumi imeshuka
Hali ya maisha imezidi kuwa ngumu
Je huo udaktari wa heshima ni ajili ya dhahama hizi?!
Kama anapenda na yeye aitwe “doctor “ kwanini wasingemgawia udaktari wa Kiswahili tu?
1. Uchaguzi wa ndani wa ccm umekidhiri RUSHWA kuanzia ngazi ya Tawi hadi Taifa.Inashangaza mno kuona rais Samia akitunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa uchumi na chuo kikuu cha Dar es Salaam ilhali nchi ndio kwanza imeghubikwa na hali ngumu ya uchumi kila upande.
Hakuna umeme
Hakuna maji
Mbolea haipatikani
Hakuna ajira
Tozo zimezidi
Deni la taifa linaongezeka
Kasi ya ukuaji wa uchumi imeshuka
Hali ya maisha imezidi kuwa ngumu
Je huo udaktari wa heshima ni ajili ya dhahama hizi?!
Kama anapenda na yeye aitwe “doctor “ kwanini wasingemgawia udaktari wa Kiswahili tu?
JK = MazaAmekupiga mwingi sana Bimkubwa, yaani ndani ya mwaka mmoja tu kapewa uganga wa heshima.
Sijui wale waliokaa at least 5yrs na wamestaafu with nothing ahahahaaa...!
Mkapa alitawala miaka 10 hakupewa Phd.Amekupiga mwingi sana Bimkubwa, yaani ndani ya mwaka mmoja tu kapewa uganga wa heshima.
Sijui wale waliokaa at least 5yrs na wamestaafu with nothing ahahahaaa...!
Kwani mkuu wa chuo kwa sasa ni nani ???!!!!Mkapa alitawala miaka 10 hakupewa Phd.
Mwinyi alitawala miaka 10 hakupewa Phd
Tanzania haitapata amani bila fulani aitwe mbinguni./ Hahera Trust meKwani mkuu wa chuo kwa sasa ni nani ???!!!!
Au apewe shahada ya kuzurura duniani au shahada ya tozoIngefaa apewe shahada ya Kiswahili cha Zanzibar
Shahad ya tozo na hili nalo mkalitizameWe ulipendekeza apewe shahada ya nini mkuu?
Umesahau kwamba siku hizi maprofesa wanatolewa kutoka vyuo vikuu na kupewa mavyeo makubwa ya kitaifa hadi uwaziri? Kwa hiyo yawezekana kuna watu wametega TEUZI hapo.Inashangaza mno kuona rais Samia akitunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa uchumi na chuo kikuu cha Dar es Salaam ilhali nchi ndio kwanza imeghubikwa na hali ngumu ya uchumi kila upande.