Huyo si mwamba ni kamba,ukweli wajulikanaAmeunguruma Simba, Nchi imetetemeka
Manyang'au yamevimba, Aibu imewashika
Yalijiona miamba, Ile isiyovunjika
Hongera sana Mbowe, Wewe ni mtu makini....
Chadema haijaanza kufukuza watu leo wamefukunzwa wengi tu tukianzia kina Shonza na kina Zitto haya kipindi Zitto anafukuzwa katiba ilikuwa ubeberuni? au makosa ya kusaliti na kutaka mabadiliko ya kiuongozi ndani ya chama lipi kosa kubwa?Katiba ya chama ndiyo inaruhusu, kuwa mwelewa kwenye mambo madogo basi, sasa ulitaka apingane na katiba ya chama?
Mkuu hv chadema wameanza kufukuza watu leo? Kipindi anafukuzwa Zitto kipengele ambacho amenukuu cha katiba kilikuwa hakipo? Chama cha siasa si kama familia mzee Chadema wako ktk wakati mgumu kuliko unavyodhani mtaji wa chama si wanachama peke yake pia na wawakilishi Bungeni ndio mtaji wa chama cha siasa ndo maana vyama kama NLD,DP na Democrasia makini unavisikia kipindi cha uchaguzi tu.kumbe hata hukumwelewa vizuri, katiba ya chadema inasema"Mwanachama yeyote ambae hataridhika na maamuzi ya kuvuliwa uanachama wake ana haki ya kupinga maamuzi hayo" mbowe alinukuu kama ulifatilia alivyokuwa anaongea hakutoa mdomoni kwake.
Ha ha ha ha haaaa wewe ni kiboko hongera sana.Kila mwananchi aliyefurahishwa na kamati kuu, hebu tupia japo ubeti mmoja hapa kuonyesha furaha yako!
Mbowe kanyanganywa bilicanas na mashamba lkn hajasanda, lissu kapigwa mvua ya risasi na hajasanda, mpaka hapo bado hujapata wa kumwamini cdm enh?Yani mtu anafurahia na kumpongeza Mbowe wala hafikirii zaidi ya hapo,hivi ikiwa hadi Mdee leo hii naye anaonekana msaliti na kwamba kavuta mpunga mnono na ccm, hivi ni nani aliyebaki huko upinzani ambaye tutasema ni wa kumuamini na hanunuliki ikiwa hata Mdee kafika dau? maana kabla ya haya maamuzi watu hawakuwa na imani na hata huyo Mbowe mwenyewe.
hebu tafuta panadol na maji mengi unywe alafu tafuta sehemu yenye kivuli upunge upepo wenge liishe.View attachment 1636567
Hizi naziita showing off ,Inaonekana huwalinda viongozi dhidi ya wapita njia walio vaa kiraia,Nikijivalisha magwanda ya UVCCM naweza kuondoka na kiongozi ,mfano hapo pichani,kiurahisi kabisa au nijivalishe magwanda ya kipolisi au nijidai ni usalama wa Taifa na kuonyesha vitambulisho feki,nina uhakika wa kuondoka na Mheshimiwa Mbowe mchana kweupe.
Ni mara ngapi Mbowe amechukuliwa kwenye hadhara ya watu ? Mbowe amewahi kushambuliwa,Lisu amewahi kushambuliwa na wengine wamewahi kushambuliwa na kutekwa,hakuna resistance yeyote hawa mabody-builder wanatoa au wana resist,mkuu anachukuliwa kibabebabe tu bila ya kutumia protocol za kiukamataji na wao hupigwa push wakasogezwa pembeni kama si lolote si chochote.
Kamchukue basi tuone!View attachment 1636567
Hizi naziita showing off ,Inaonekana huwalinda viongozi dhidi ya wapita njia walio vaa kiraia,Nikijivalisha magwanda ya UVCCM naweza kuondoka na kiongozi ,mfano hapo pichani,kiurahisi kabisa au nijivalishe magwanda ya kipolisi au nijidai ni usalama wa Taifa na kuonyesha vitambulisho feki,nina uhakika wa kuondoka na Mheshimiwa Mbowe mchana kweupe.
Ni mara ngapi Mbowe amechukuliwa kwenye hadhara ya watu ? Mbowe amewahi kushambuliwa,Lisu amewahi kushambuliwa na wengine wamewahi kushambuliwa na kutekwa,hakuna resistance yeyote hawa mabody-builder wanatoa au wana resist,mkuu anachukuliwa kibabebabe tu bila ya kutumia protocol za kiukamataji na wao hupigwa push wakasogezwa pembeni kama si lolote si chochote.
Kwani Mdee hakuwa akipitia misukosuko yeyote? kila kitu kina muda wake na mengine yanayoendelea hatuyajui.Mbowe kanyanganywa bilicanas na mashamba lkn hajasanda, lissu kapigwa mvua ya risasi na hajasanda, mpaka hapo bado hujapata wa kumwamini cdm enh?
Huyu ni mwamba wa kweli,mwamba wa kuvuta zipu,Ameunguruma Simba, Nchi imetetemeka
Manyang'au yamevimba, Aibu imewashika
Yalijiona miamba, Ile isiyovunjika
Hongera sana Mbowe, Wewe ni mtu makini
Hawa watu waonevu, Ni watu waso na soni
Matendo yao uovu, Na ghiliba za shetani
Mipango yao mibovu, Kaivunja Freemani
Hongera sana Mbowe, Wewe ni mtu makini
Nchi imekuwa dampo, La uchafu wa wahuni!
Mambo wayafanya simpo, Kiburi cha Firauni
Wamejifanya madompo, hawamuogopi nani!
Hongera sana Mbowe, Wewe ni mtu makini
Aibu yetu au yao?, Huu ni msala wao!
Wasaliti wana chao?, Chao ni ujinga wao!
Wameuza utu wao, Kwa uchu tamaa zao!
Hongera sana Mbowe, Wewe ni mtu makini
Wananchi tunaona, Wananchi tunajua!
Hadaa tumeziona, Inda tunaitambua!
Mambo yao konakona, Akili zao vibua
Hongera sana Mbowe, wewe ni mtu makini!
Wewe umeona wapi, Dhulma ishinde haki?
Kwenye mwanga saa ngapi, Giza likatamalaki?
Maono yao mafupi, Kama yale mafataki.
Hongera sana Mbowe, Wewe ni mtu makini
Hima sasa wananchi, Kamanda kaweka sawa
Hila zote kazipanchi, mambo sasa sawasawa
Hadaa kapiga tochi, wamebaki kupagawa
Hongera sana Mbowe, Wewe ni mtu makini!
uasi ni dhambi isiyosameheka full stop.Kwani Mdee hakuwa akipitia misukosuko yeyote? kila kitu kina muda wake na mengine yanayoendelea hatuyajui.
Pole sasa Dada, Kumbe Mwamba alikufanyia namna hii?Huyu ni mwamba wa kweli,mwamba wa kuvuta zipu,
Ili akupe kibali,nawe umpe bakuli,
Bila hivyo hakubali,ni bora umpe supu
Wanaenda fungua kesi mahakama itazuia kufutwa kwao sababu kesi inasikilizwa na kesi itaenda mpaka 2025 na baada ya hapo wataenda sisiemu, loser ni chadema! Mdee, bulaya, matiko wana influence kubwa sana kwa kina mama, ambao ndio wapigaji kura wakubwa..
Kapitia akiwa mbunge, so ubunge ndo ulimfanya avumilie, kukosa ubunge miezi 2 tu kasanda, akina mnyika hawakuwa hata na haja ya kugombea, lissu tangu 2017 kapokwa ubunge na hajasanda yaani wa kutumainia chadema wapo wengi mno!Kwani Mdee hakuwa akipitia misukosuko yeyote? kila kitu kina muda wake na mengine yanayoendelea hatuyajui.
Mwamba ni Mwamba.Wanasaccos wanazidi kugawana mbao za mtumbwi wa chadema [emoji16][emoji23]
Umwamba wake ni upi? Kuzigawa mbao za mtumbwi(hao kina halima na wenzake au)? Mi naona uongozi wa saccos ni ma losers [emoji16] [emoji23]Mwamba ni Mwamba.
Ruka sarakasi zote, tembea na makalio hapa hadi Burigi, harisha ugoro wote ila Mwamba ni Mwamba.Umwamba wake ni upi? Kuzigawa mbao za mtumbwi(hao kina halima na wenzake au)? Mi naona uongozi wa saccos ni ma losers [emoji16] [emoji23]
Unateseka ukiwa wapi we mataga?Umwamba wake ni upi? Kuzigawa mbao za mtumbwi(hao kina halima na wenzake au)? Mi naona uongozi wa saccos ni ma losers [emoji16] [emoji23]