Shaka atamba CCM kuongoza kwa wingi wa wafuasi mitandaoni

Haki ya Mungu...

Wallah tena, naapia...

Hapa atokee mtu na kuweka Sh 50 Billion, na kuniambia nikitaja akaunti moja tu, kutoka mtandao wowote ambayo ni ya CCM... wallah, hiyo 50B nitaikosa hivi hivi...

Na ikitokea nimewekewa kisu shingoni, nitaje moja TU vinginevyo jamaa anakula shingo... haki tena, safari yangu ya kwenda kuongozwa na Kiongozi wa Malaika, Mheshimiwa John Pombe... itakuwa ndo ishawadia!!

Kumbe ndo huko wanakolishwa ujinga Watanzania?!

Unashangaa unakutana na kijana in his mid-20's lakini kimawazo anafanana na Ndugai... hii mitandao hii!!!
 
[emoji1][emoji1][emoji1] Tweeter, Facebook na Instagram, CCM Wana followers wachache sana, Chadema Wana followers wengi, Ila mazuzu yanapeana tuzo
 
Siyo mfuasi wa vyama ila ni mfuatiliaji nzuri sana matukio ya kivyama, kiukweli siasa za vyama vyetu huwa inanichekesha sana kwa jinsi wanavyowahiana katika matukio........wakati huku chadema inaonyesha 'bonge la msururu' wa watu wawili wanaosemwa wanajiunga chadema kidigital, ccm imemaliza kabisa kwa kutangaza kupokea tuzo,.....kwamba wenyewe wako huko kitaaambo sana!!

Hahaaaaaaaaaaaa! Inafurahisha sana, ukiwa sio mnywa maji ya bendera ya chama basi ni burdaaaani kabisa!
 
Siempre CCM

Siempre SiempreπŸ’ͺπŸ‘πŸ‘ŠπŸ˜
 
πŸ˜πŸ˜πŸ‘πŸ’ͺπŸ‘ŠπŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…