Shaka atamba CCM kuongoza kwa wingi wa wafuasi mitandaoni

Ana sura ya kidemu
 
Au labda mm sielewi,hyo silver play button,youtube wanakutumia ukiwa na subscribers 100,000/=,,,sasa hii ya kua na wafuasi wengi mtandaoni imetoka wapi
 
Wewe unaamini huo utopolo ?
 
CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

Kwa mujibu wa tovuti ya ukusanyaji wa takwimu za mitandao ya kijamii (Statista Aprili, 2019) watu milioni 23 wanatumia intaneti hapa nchini, sawa na takribani asilimia 42 ya Watanzania milioni 55.

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaongoza kwa idadi kubwa zaidi wafuasi kwenye mitandao yote ya kijamii kati ya vyama vitano vya siasa vinavyotumia mitandao miongoni mwa vyama 19 vilivyosajiliwa nchini vinavyoonekana kuwa vinara wa kutumia kurasa za mitandao ya kijamii.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka, Ofisi ndogo ya CCM Lumumba Jumatano 27 Oktoba 2021.

#ChamaImara
#KaziIendelee

Hongera sana Chama Cha Mapinduzi kwa usimamizi makini wa ilani ya Uchaguzi! CCM Oyee!
 
KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA, ITIKADI NA UENEZI SHAKA HAMDU SHAKA, AMEKUTANA NA KUNDI LA UHAMASISHAJI KUPITIA MITANDAO WA KIJAMII

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka Jumatano 27 Oktoba, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na kundi la uhamasishaji kupitia mitando ya kijamii Ofisi Ndogo za Makao Makuu Lumumba Jijini Dar es Salaam.

#ChamaImara
#KaziIendee .
 
CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

Kwa mujibu wa tovuti ya ukusanyaji wa takwimu za mitandao ya kijamii (Statista Aprili, 2019) watu milioni 23 wanatumia intaneti hapa nchini, sawa na takribani asilimia 42 ya Watanzania milioni 55.

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaongoza kwa idadi kubwa zaidi wafuasi kwenye mitandao yote ya kijamii kati ya vyama vitano vya siasa vinavyotumia mitandao miongoni mwa vyama 19 vilivyosajiliwa nchini vinavyoonekana kuwa vinara wa kutumia kurasa za mitandao ya kijamii.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka, Ofisi ndogo ya CCM Lumumba Jumatano 27 Oktoba 2021.

#ChamaImara
#KaziIendelee
 
Hizo tuzo za lini? Au baada ya kusikia Chadema wameanza sajili wafuasi online wakajiongeza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…