Shaka atamba CCM kuongoza kwa wingi wa wafuasi mitandaoni

Tuzo ya kuiba kura watapokea lini?πŸ‘‡πŸ€‘πŸ€‘πŸ€‘
Your browser is not able to display this video.
 
Usimjudge mtu kwa muonekano. Hawa jamaa walivyo na propaganda zao haziendani kabisa. Kidogo CM 1774858 anajitahidi. Atakuwa ndiye yule mwenye shati jeupe.
 
CCM kuongoza kuwa na wafuasi wajinga wengi mitandaoni kwa mujibu wa utafiti wa kisayansi wa shirika huru la Twaweza Kuna maana gani kwa watu wenye Akili timamu? Ni mazuzu hayo kujazana sehemu Fulani tuu.

Kuna maana sana kwao sababu inakuwa rahisi kwao kuendelea kushika dola,
Kwanini na nyie msiwapate hao wajinga wawe wafuasi wenu ?
 
Nakuona mama D unamsikiliza Mwenezi wako kwa umakini mkubwa!!! jingalao naona linasubiria tu kwa hamu mgao wake wa buku 7!
 
CCM ya awamu hii imejaza vichaa watupu
 
Kwahiyo hao ndio hawa wanaotusumbua na nyuzi zao zisizo na miguu wala kichwa humu ndani[emoji848][emoji848][emoji848]

Imagine πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Namuona Ritz hapo akiwa makini kabisa anaupiga mwingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…