Shaka Hamdu: Dunia nzima inamkubali Mwigulu Nchemba isipokuwa CHADEMA tu, atakuwa Rais wa Benki ya Dunia

Angeulizia kwanza Rais wa Benki ya Dunia anapatikana vipi na anatoka wapi. Mwigulu hana sifa hizo labda abadilishe uraia.

Amandla....
 
Hivi huyu Shaka ana elimu gani? Inaelekea uelewa wake wa mambo ni mdogo sana.

Eti Mwigulu anaweza kuwa Rais wa Bank ya Dunia ...... Labda anadhani huo uteuzi hutafanywa na Maza.
 
Angeulizia kwanza Rais wa Benki ya Dunia anapatikana vipi na anatoka wapi. Mwigulu hana sifa hizo labda abadilishe uraia.

Amandla....
Hata akibadilisha Uraia.... Mwigulu hana akili ya kushika huo wadhifa. Narudia tena Mwigulu hana akili ya kushika huo wadhifa.
 
Nincompoop
 
Unakuwaga na kaujinga fulani hivi.Unatakiwa uitwe msaga-kunguni.😂😂😂😂
 
Hawa jamaa wanakula na kushiba hivyo hawana huruma kabisa na watanzania masikini hivo wanajifanyia wanavotaka . nasisi watanzania tumekubaliana na hio hali tuendelee kuwapa mda.
 
Nchi yangu Tanzania Kwa akili hii ya watu wako utapona kweli?
 
mafisadi tupu humo.
Wakati akiwa waziri timu yake ya singida Fc ilikuwa inafanya vizuri sana maana yake alikuwa anatumia uwaziri kupiga pesa za watanzania na kuzitumia kwa timu yake, alipotumbuliwa na magufuri akabaki na ubunge tu timu lake likashuka daraja. Sasa hivi mama kaliteua tena uwaziri wa fedha naona kuna timu imepanda kairudisha natarajia siku akitenguliwa tena hilo litimu litashuka haraka. CCM ni mapigaji yamejaa humo
 
Kuna maneno ukiyasikia yakisemwa na watu wakati mwingine unayapuuza ukizani ni uzushi tu lakini sasa naanza kuamini wale waliokuwa wakisema jamaa analiwa.
 
Mimi niccm kwamaana yakadi bendera na imani kisiasa ilaukweli tunaumia bahati mbaya zaidi nipale pamoja nakufanya hivyo pesa zinapotea maendeleo tunayataka lakini pesa zinapotea kihivo tunazidi kuwa nahali mbaya sana tunaumia natuwache kuwa kichama tulalamikie matatizo kwakweli
 
Basi kumbe Chadema ni kubwa sana. Kama hawa tunaolalamika nao kuhusu tozo ni Chadema, basi hiki chama sipati picha, siku wakiruhusiwa kufanya mikutano hali itakuaje, pengine ndo sababu watawala wanawaogopa.
 
Kenya ni ya Wakenya, Tanzania ni ya CCM ,Loooh! Kumbe uzi unahusu umahiri wa Mwigulu , samahani kwa kutoka nje ya mstari.
 
Shaka nadhani hapanalipofikia ameleta madaraka na hivyo kutaapika analotaka. Huku ni kuwa dharura waTanzania. Nafasi ulipewa na hukuchaguliwa na waTz jitambue
 
Mpyuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…