Shaka Hamdu: Dunia nzima inamkubali Mwigulu Nchemba isipokuwa CHADEMA tu, atakuwa Rais wa Benki ya Dunia

Ukiona wazungu wanakupenda sana jitahidi kuchunguza ulipokosea
 
Promo la kiduanzi Sana hili. Eti rais wa world bank! Hamaanishi huyu na ama anamdhihaki mwigulu Kwa kukosa ubunifu wa vyanzo vipya vya Kodi! Au Kuna dunia nyingine ya ccm tusioijua. Huyu anajulikana Kama rais wa mawe TU na matozo! Urais wa benki ya dunia mchezo! Pathetic!
 

Benki ya Dunia!! Benki ya Dunia ya wapi? Kuna Benki hapa Tanzania inayoitwa Benki ya Dunia?
 
Ina maana kina stroke nao ni cdm siku hizi? Mbona hamjatiambia kajiunga lini huko? Mwambie shaka hatoshi kuwa mwenezi wa ccm!
Stroke anapigania legacy.
 
Lile buyu la asalilikishakufikiana ulalilambaaa akili huwa zinabadilikaaa faster..
 
Siyo busara kukimbilia keyboard kila ukisikia kitu.
 
Kauli ya mtu mwenye elimu ya kkk tu! Mwenyewe alipojipigia debe tu kuwa ni msomi wa kiwango cha udaktari alithibitisha kuwa debe tupu.
 
Ajenda yao kuu ni kuwafanya wananchi wazidi kuwa masikini Ili waweze kuwatawala
 
Kauli ya mtu mwenye elimu ya kkk tu! Mwenyewe alipojipigia debe tu kuwa ni msomi wa kiwango cha udaktari alithibitisha kuwa debe tupu.
Kama ni daktari na huna ubunifu nje ya kuumiza watu huo udaktari ni feki.
 
Ccm wana vituko sana, Sasa hivi wameunda tume kufuatilia huu Utapeli wao.
 
Huyu anayefikiria kunyang'anya watu hela zào Kwa udanganyifu ndo Waziri Bora Hadi WB wanasubiri? Shaka Una Leseni A ya Uchawa.
 
Tatizo la ccm ndio hilo, hawataki kuona mawazo mbadala na ya wao!
hawataki kuona watu wanafikiria na kuhoji vitu!
Wanataka kujenga fikra kuwa wao (viongozi) hata wakija na fikra OVU basi jamii izipokee tu!
Sio dunia ya leo tambueni hilo, lazima tuhoji kwa hoja na tupinge kwa hoja!
 
huyo ni mpuuzi fulani hivi.anayelalamikia tozo si chadema bali ni wananchi.tozo haziwaumizi chadema tu balia wananchi wote.kwani Vodacom wanaosema wamepata hasara ni chadema.akili fupi pia hufikiri pafupi.hilo ndo tatizo la kuwapa madaraka watu ambao hawawazi mbele.hakuna anayekataa tozo tatizo kuna tozo nyingi na ni kubwa.kuna double taxation and levy.wananchi pia wanataka kujua ni kiasi gani kimekusanywa kwenye tozo hizo na zimetumikaje.kama waziri wao ni bora basi aende huko benki ya dunia akawatoze.mfano mdo mtu anaflemu zake tatu ziko kwenye jengo moja.kaweka mita kila flemu lkn analipia kodi kama vile ni flemu tatu tofauti.hii ni akili gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…