Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,823
- 2,466
===
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi & Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka amempongeza na kumsifu Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kuifungua Tanzania kitaifa na Kimataifa,
Aidha Katibu huyo wa Itikadi & Uenezi wa CCM-tanzania amempongeza zaidi Mhe Samia Saluhu Hassan kwa kuwafungulia Watanzania wote dunia na niwakati wao sasa kuchukua kila Chema wanachokitaka toka duniani kwani sasa fursa ni nje nje,
Aidha Ndg Shaka Hamdu Shaka ambae pia ni Msemaji wa Chama cha Mapinduzi Taifa amejinasibu kuwa Rais Samia hafanyi hayo yote kwa UTASHI WAKE ila UTEKELEZAJI wa Ilani ya CCM Ibara ya 67 ya Mwaka 2020|25
#CHAMA IMARA,
#RAIS IMARA,
#TANZANIA IMARA ,