Shaka Hamdu Shaka: Si utashi wa Rais Samia kufanya Tanzania Royal Tour

Hapana, kwani hao wasaidizi wa Mheshimiwa hawaaminiki.

Awaondoe aweke wengine.

Rais anazunguka kuchezesha sinema uliona wapi.

Kitendo cha kuizindua tu kilitosha awaachie vijana.
 
Swali zuri sana, kwamba

"Uliona wapi? "

Ndio maana tunasema kazi anazozifanya hazijawahi kufanywa na yeyote na ndio maana tunasema huyu Mama ni wakipekee sana,
 
Back
Top Bottom