Shaka Hamdu Shaka: Si utashi wa Rais Samia kufanya Tanzania Royal Tour

Tukiacha mbwembwe za washamba wachache kwenye Taifa hili, Rais Samia ni Mtu anayeitakia mema sana hili Taifa, Tatizo la Watanzania Rais akipa ndio wanajifanya kumpenda zaidi
Bila kubadili Sheria za Nchi hii hakuna kitu atafanya mwambieni ukweli
 
Safi sana nadhani next term Urais tuwape kabisa Bongo Movie huenda wakatufungulia zaidi hii nchi iloyokuwa imefungwa kwa miaka 60
 
Uko vizuri sana mwenezi wetu,
 
Kazi iendelee kwa kasi,
 
Safi kabisa Mama Samia,
 
Tukiacha mbwembwe za washamba wachache kwenye Taifa hili, Rais Samia ni Mtu anayeitakia mema sana hili Taifa, Tatizo la Watanzania Rais akipa ndio wanajifanya kumpenda zaidi
Nakubaliana na wewe hata Mungu anajua hili,
 
Asante Mama yetu kwa Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020|25
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…