Vugu-Vugu
JF-Expert Member
- Feb 24, 2017
- 1,381
- 1,600
NailedSafi sana Rais Samia,
Hapa Mzee Kubenea anatakiwa amshukuru sana huyu mama na magazeti yake ya Mwanahalisi,Mawio,
Kazi iendelee, tuko vizuri Sana Tanzania,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NailedSafi sana Rais Samia,
Hapa Mzee Kubenea anatakiwa amshukuru sana huyu mama na magazeti yake ya Mwanahalisi,Mawio,
Kazi iendelee, tuko vizuri Sana Tanzania,
TCRA PIA NI CCM,ccm imekuwa TCRA? mnatafuta kodi kwa fujo🤣🤣
Unayo akiliHoja hapa ni kutoa ajira kwa vijana mkuu,
Swala la wao kutukana watakutana na TCRA huko,
Nadhani hili ni jambo jema sana MKUU,
🙏🙏🙏🙏
UjingaAda mjweke nyie akague mnajosifu. Poleni
Ni sahihi,Hilo ni jambo jingine ila tunachojua bei imepungzwa kwa 95%
Yuko vizuri SanaCM 1774858 namwelewaga sana
[emoji38][emoji38][emoji38]Piga kazi mama tumecheleweshwa mnooo kama taifa. Zaidi ya miaka 6 tulikwama
SanaYuko vizuri Sana