Shaka Hamdu Shaka: Tumepunguza ada ya usajili wa "Online TV" kwa 95% kutoka TZS 1M hadi shilingi Elfu 50

View attachment 2193845
===
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi & Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka amempongeza Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kuwa na kifua cha kuvumilia kukosoa na kukosolewa.

Aidha Ndg Shaka Hamdu Shaka amempongeza zaidi Rais pamoja na Waziri aliyemteua Mhe Nape Moses Nauye kwa kushusha gharama za kusajili "Online TV" kutoka TZS 1,000,000 ( milioni moja) ya awamu iliyopita hadi TZS 50,000 ( elfu hamsini ) ya sasa kwa kutambua kuwa kwasasa duniani " Mitandao ni Ajira".

Wakati huohuo,
Amempongeza sana Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan Pamoja na Waziri Nape Moses Nauye kwa kuvifungulia vyombo mbalimbali vya Habari vilivyofungiwa kwa muda mrefu kwani Vimerudisha ajira kwa Watanzania wanyonge na vimeongeza wigo wa kupata habari na wanahabari.

Aidha, Shaka Hamdu Shaka ameipongeza Serikali ya awamu ya Sita kwa kutekeleza kisawasa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi ya 2020|25 hasa kifungu cha 125,kinachosisitiza Uhuru wa habari na wanahabari kwa WATANZANIA wote "Na ndio sababu leo watu wanakosoa na wanabaki kuwa salama " alilisisitiza bwana Shaka Hamdu Shaka.

Ndg Shaka Hamdu Shaka ameyasema hayo katika Uzinduzi wa Jengo la Studio za kisasa za Televisheni ya TBC2 pamoja na kipindi kipya cha "Jambo Tanzania", Mikocheni Jijini Dar es Salaam Leo Jumanne 19 Aprili, 2022.

Washushe makali ya maisha sio extrass, washushe mafuta ya kula na pia petrol na diesel na kerosine
 
Wanasubiri teuzi hakuna kingine

Kila wakiona ile barua ya teuzi wanafungua kwa matumaini hlafu wanakuta hewa ila wanapeana moyo kuongeza juhudi kuwa wataonekana tu. Wanahangaika humu kwa uknown anonymous IDs zenye wamezipresent kwa desks plus kule kwenye known IDs insta,fb, likes za twtr na kwenye magroup ya chama.
 
SHAKA HAMDU SHAKA: SERIKALI YA RAIS SAMIA IMEFANYA MAPINDUZI MAKUBWA KWENYE SEKTA YA HABARI ILI KUVUTIA AJIRA KWA VIJANA NA WATANZANIA.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi & Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka amempongeza Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kuwa na kifua cha kuvumilia kukosoa na kukosolewa.

Aidha Ndg Shaka Hamdu Shaka amempongeza zaidi Rais pamoja na Waziri aliyemteua Mhe Nape Moses Nauye kwa kushusha gharama za kusajili "Online TV" kutoka TZS 1,000,000 ( milioni moja) ya awamu iliyopita hadi TZS 50,000 ( elfu hamsini ) ya sasa kwa kutambua kuwa kwasasa duniani " Mitandao ni Ajira".

Wakati huohuo, Amempongeza sana Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan Pamoja na Waziri Nape Moses Nauye kwa kuvifungulia vyombo mbalimbali vya Habari vilivyofungiwa kwa muda mrefu kwani Vimerudisha ajira kwa Watanzania wanyonge na vimeongeza wigo wa kupata habari na wanahabari.

Aidha, Shaka Hamdu Shaka ameipongeza Serikali ya awamu ya Sita kwa kutekeleza kisawasa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi ya 2020|25 hasa kifungu cha 125,kinachosisitiza Uhuru wa habari na wanahabari kwa WATANZANIA wote "Na ndio sababu leo watu wanakosoa na wanabaki kuwa salama " alilisisitiza bwana Shaka Hamdu Shaka.

Ndg Shaka Hamdu Shaka ameyasema hayo katika Uzinduzi wa Jengo la Studio za kisasa za Televisheni ya TBC2 pamoja na kipindi kipya cha "Jambo Tanzania", Mikocheni Jijini Dar es Salaam Jana Jumanne 19 Aprili, 2022.

Bwanku M Bwanku.
 
Attachments

  • VID-20220420-WA0014.mp4
    13.2 MB
Kila wakiona ile barua ya teuzi wanafungua kwa matumaini hlafu wanakuta hewa ila wanapeana moyo kuongeza juhudi kuwa wataonekana tu. Wanahangaika humu kwa uknown anonymous IDs zenye wamezipresent kwa desks plus kule kwenye known IDs insta,fb, likes za twtr na kwenye magroup ya chama.
Ni watu wa hovyo sn
 
shaka hamidu ni nani !
ni mfanyakazi wa serikali au ccm
 
Wapinzani walituchelewesha Sana Kwa kuongeza gharama za usajili wa Online TV, serikali ya CCM imekuja kupunguza tatizo...
 
View attachment 2193845
===
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi & Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka amempongeza Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kuwa na kifua cha kuvumilia kukosoa na kukosolewa.

Aidha Ndg Shaka Hamdu Shaka amempongeza zaidi Rais pamoja na Waziri aliyemteua Mhe Nape Moses Nauye kwa kushusha gharama za kusajili "Online TV" kutoka TZS 1,000,000 ( milioni moja) ya awamu iliyopita hadi TZS 50,000 ( elfu hamsini ) ya sasa kwa kutambua kuwa kwasasa duniani " Mitandao ni Ajira".

Wakati huohuo,
Amempongeza sana Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan Pamoja na Waziri Nape Moses Nauye kwa kuvifungulia vyombo mbalimbali vya Habari vilivyofungiwa kwa muda mrefu kwani Vimerudisha ajira kwa Watanzania wanyonge na vimeongeza wigo wa kupata habari na wanahabari.

Aidha, Shaka Hamdu Shaka ameipongeza Serikali ya awamu ya Sita kwa kutekeleza kisawasa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi ya 2020|25 hasa kifungu cha 125,kinachosisitiza Uhuru wa habari na wanahabari kwa WATANZANIA wote "Na ndio sababu leo watu wanakosoa na wanabaki kuwa salama " alilisisitiza bwana Shaka Hamdu Shaka.

Ndg Shaka Hamdu Shaka ameyasema hayo katika Uzinduzi wa Jengo la Studio za kisasa za Televisheni ya TBC2 pamoja na kipindi kipya cha "Jambo Tanzania", Mikocheni Jijini Dar es Salaam Leo Jumanne 19 Aprili, 2022.
Good news
 
View attachment 2193882

Observations ,

Ukiondoa mfumuko wa Bei Tanzania,

Rais Samia Suluhu anafanya vizuri sana karibu katika kila idara,

Kwenye kilimo mama anaupiga mwingi,

Kwenye afya Mama anaupiga mwingi,

Kwenye Utawala wa Sheria mama anaupiga mwingi,

Kwenye Uchumi Mama anaupiga mwingi,

Kwenye diplomasia mama anaupiga mwingi,

Kimataifa mama anaupiga mwingi,

Yaani mama anaupiga, anaupiga anaupiga mwingi kwelikweli,

Endelea.....
Uko sahihi 100%√🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom