GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Unabisha hukupigwa na vibikra 4 ambayo vilimlaza ayattolah kwenye bunker akiwa hoi? 🤣Hivi kiswahili ni kigumu sana!!, ebu tafuta % ya hao marubani wa 4, kwenye jumla ya marubani wote , maana nashindwa kuelewa shida yako ni kiswahili au hisabati?
Lugha chafu yanini?Hapo ni mtaani? Unadhani ni chooni unqponyoa mazivu yako ufokolewe?
Hivi ukifa unapata nini huko kwa allah we persia rug ? Sinwar yuko bize kumong'onye bikra zake 72 alizopewa na muddy wewe je 🤣
Mbona Iran walitoa picture ya hilo godauni, we kuona moto ndio unaona kipigo kikubwa katazame picture ni pembeni kabisa ya godauni. Wapi Iran alisema hakuna madhara alicho sema madhara madogo sana na pia kwanza alisema wamekufa askari 2 badaye akasema 4 leo kasema 10 hapo ndio uelewe Iran hafichi kitu hapo walio kufa inawezekana katika wale 16 walio umia.Huu mwaka huko kanada lazima uokote makopo old persian rug
View: https://x.com/Osint613/status/1850592719736848723?t=gOVEvTHiIfdaldoVh8FKOg&s=19
Hakuna ndege ya israel iliyoingia anga ya Iran,acha uwongoMiezi mitatu iliyopita Iran wali-update rada zote za S-300 pamoja battery za kujikinga na makombora na walijiamini Sana wakifikiri Rada zitafanya kazi..
Ebu fikiria ndege za Israel zilifanya operation zaidi ya masaa mawili kwenye ANGA la iran
Kwani we mbuzi wa khamenei huko kwenye bunker unafanywa nini?Lugha chafu yanini?
Ndipo ukondoo wako ulipoishia kufikiri hapo?
Ngoja wahafidhina kina FaizaFoxy Ritz kimsboy Adiosamigo Extrovert 100 others waone hii comment, watakushukia kama Mvua....Urusi kamtaperi Iran na machuma machuma yake s3000,kama yeye alivyotaperiwa na China kwa kuuziwa vifaa vibovu wakati Small operation inaanza.
Wewe jamaa una bichwa gumu sana I tell you. Hata picha huelewi?Hizi habari mna okota wapi HAKUNA ndege iliogusa anga la Iran
Wewe umeelewa, Israel wametumia akili kubwa na wamefanikiwa sana kwenye kisasi chao, hata Tehran wenyewe walidhani wamepata hasara kidogo, kustuka kumbe wameshaharibu uwezo wa kuunda makombora na mifumo ya ulinzi wa anga.Mashambulizi makubwa ya anga ya Israel nchini Iran siku ya Jumamosi yalilemaza uwezo wa Iran wa kuzalisha makombora ya masafa marefu katika pigo ambalo litakuwa gumu na linalochukuwa muda kurejesha, na kutoa vifaa muhimu vya nishati katika hatari ya mashambulizi ya siku za usoni kwa kuharibu betri za ulinzi wa anga zinazowalinda.
Mashambulizi hayo, ambayo shirika la utangazaji la Israel la Kan lilisema yalionyesha uwezo uliokuzwa kwa zaidi ya miongo miwili, yalionyesha uhuru mkubwa zaidi wa kufanya kazi kwa ndege za kivita za Israeli katika kushambulia Iran ikiwa mzozo wa sasa utaendelea kuongezeka, na vile vile kurudisha nyuma uwezo wa Tehran wa kurusha makombora kila wakati kwenye anga. Jimbo la Kiyahudi, ambalo Jerusalem inatazamia kuwa litatumika kama kizuizi dhidi ya mashambulio zaidi kwa serikali ya Kiyahudi.
https://www.timesofisrael.com/iran-...missile-production-disables-key-air-defenses/
Technically Uki-destroy kile kinacholinda,kinacholindwa kinakuwa tayali kimeshakufa hata kama hakikuguswa.Miezi mitatu iliyopita Iran wali-update rada zote za S-300 pamoja battery za kujikinga na makombora na walijiamini Sana wakifikiri Rada zitafanya kazi..
Ebu fikiria ndege za Israel zilifanya operation zaidi ya masaa mawili kwenye ANGA la iran
Wacha weee wewe ndio ulitegemeaManeno magumu Sana haya Kwa jeshi la Iran
Jeshi la Iran hawakutegemea kama watapigwa Kwa kutumia ndege F - 35
Mamlaka ya Iran ilisema maeneo katika mikoa ya Tehran, Khuzestan na Ilam yalishambuliwa.Hawakatazwi kuota si gazeti lao lazima wawatie nguvu wananchi wao sababu wanakimbia nchi yao kila kukicha 😄
Yule wa Iraq wakati anatangaza Mara ya mwisho kabla ajatangaza USA akaangusha jengo kwa mbali kidogo uku ananaangalia tokea hapo hakuonekana tenaaaaaa.Akili za pro Ayotollahs, wavaa vipedo, misuli na makobazi hazina tofauti na yule mtemi wa kusini, enzi za ukoloni, kinjekitile Ngwale, kwamba risasi zigeuke kuwa maji kwa kusema tu.Au yule waziri wa habari wa Saddam Hussein, Ali Sayaf, "Yaani Iraq inachapika yeye anadai wao ndio wanawachapa wavamizi, US & Co. Wote tunajua mziki wa ndege za kivita Chapa F-35. Yaani ndege 100 na drones zishambulie targets 20 huko Iran bila kuleta madhara? Yaani hata kama wamekula yamini ya kuleta propaganda, hii imekuwa too much 🤔
Siyo mawili mkuu manne zikawa zina refuel kwenye anga ya Iran.Miezi mitatu iliyopita Iran wali-update rada zote za S-300 pamoja battery za kujikinga na makombora na walijiamini Sana wakifikiri Rada zitafanya kazi..
Ebu fikiria ndege za Israel zilifanya operation zaidi ya masaa mawili kwenye ANGA la iran
Bibi ukalee wajukuu sasa! Hizi habari zimezidi uwezo wako wa kufikiriHuko kunaitwa kujitekenya mwenyewe na kujichekesha mwenyewe.
Adiosamigo mkereketwa mkuu wa ayatollah 😆😆Ngoja wahafidhina kina FaizaFoxy Ritz kimsboy Adiosamigo Extrovert 100 others waone hii comment, watakushukia kama Mvua....
Kwani we mbuzi wa khamenei huko kwenye bunker unafanywa nini?
Mwanangu huna akili…acha kuachangia mambo yaliyokuzidi. Zoea kujisomea ili ujifunze. Yaani ndege vita ikae angani masaa 2 kufanya mashambulizi? Duu! Ndege hubeba makombora machache ndiyo maana huenda nyingi.. na ni zoezi la haraka hakuna mfano.Miezi mitatu iliyopita Iran wali-update rada zote za S-300 pamoja battery za kujikinga na makombora na walijiamini Sana wakifikiri Rada zitafanya kazi..
Ebu fikiria ndege za Israel zilifanya operation zaidi ya masaa mawili kwenye ANGA la iran