Kaziutumishi
JF-Expert Member
- Aug 17, 2018
- 325
- 384
Don't waste your time n energy, hilo jamaa lina low IQ km kichaa jiwe na yuko kazini yaani genge la buku7Mkuu GENTAMYCINE umejaribu kuelezea vizuri kwa muono wako lakini tujaribu kuona kwa upande mwingine basi ukoje.
Ni kweli system ikikuhitaji huwezi kabisa kuchomoka maana inao watu trained wanaojua wana fanya nini.
Lakini system yaweza kutumika Mara mbili, issue official ambayo lazima inapangwa kiuweledi na inafahamika kwa wahusika Wa jambo hilo kwa mkakati kamili na kuna LA pili jambo ambalo halina maslahi ya taifa hivyo linafanyika kiharamu kwa kutumia baadhi ya wahusika Wa system kutekeleza.
Na uharamu huo ndio unao sababisha mambo Ku backfire hadi kuleta sintofahamu ndani ya system hadi wakati mwingine mambo ya "utata" kama yale ya kuhamishianaTabora. Hilo LA siri na haramu ndio laweza kuwa lilitumika kwa Lissu kwa system ile ile kwani Lissu sio tishio kwa taifa na hata ndani ya system anao wafuasi wanaojua umuhimu wake na kumuunga mkono utapangaje kwa uwazi kumdhuru?
Lingine ni ukimya, serikali zote ulimwenguni litokeapo jambo lenye kuichafua ni haraka sana kuweka wazi uchunguzi wake kujisafisha. Lakini mbona hii imeufunga uchunguzi pamoja na mambo ya wazi kabisa ikiwamo kuondelewa ulinzi, CCTV camera na mengineyo?
Kubaki na kusema dereva dereva ni argument isiyo na mashiko hata kidogo katika issue iliyochafua nchi kwa kiasi kikubwa. Tukubaliane tuu kuwa serikali imeshafunga siku nyingi file LA Lissu kwani majibu inayajua na kama ni kwavile ni inside job basi ni wazi serikali hii haitufai hata kwa dakika moja. Inashindwa kichukua hatua? Yaani mie nikimuua mke wangu watasema hayo ni mambo yetu ya ndani?