MISULI
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,843
- 5,476
Vipi hapa ndani hakuna uwezekano wa kufanya uchunguzi na majibu yakapatikana?Unataka kusema hili tukio ni complicated sana kiasi tuhitaji vyombo vya nje?Itakua nchi kweli kila katukio basi watu wajifiche kwenye uchunguz wa nje?Shida kila kitu ni siasa uchwara na hili halina tofaut ya kuacha kumpeleka muhimbili na kumpeleka Nairobi, Utaona hakukua na hoja zzt za mcngUchunguzi Huru wa kimataifa ungetupa majibu yasiyoacha shaka kwa pande zote tatu,Watuhumiwa,CHADEMA na Familia ya Lissu.