Gallius
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,998
- 8,339
Hivi Paskali, ile Albadil ya ndugu zetu wa upande wa pili ilifanya kazi kweli? au pia ili ogopa kivuli cha mtu fulani?Naomba uishie hapo hapo ...
P
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Paskali, ile Albadil ya ndugu zetu wa upande wa pili ilifanya kazi kweli? au pia ili ogopa kivuli cha mtu fulani?Naomba uishie hapo hapo ...
P
Mkuu umejibebesha ufahamu na utambuzi wa scene of crime forensic analysis ambao nataka kukuthibitia wewe huna labda hayo matusi ambayo sisi wengine hatuyatumii katika kuelezea au kutoa michango yetu katika suala zito kama hili.Mchangia mada wewe siyo mtu makini na kwenye hili Jukwaa bakia unasoma tu. Serikali ilikuwa na uwezo wa kumfuata Dereva wa TL Nairobi hata Brussels kama Ingekuwa na nia ya kufanya uchunguzi. Nenda Dodoma kamuulize Kamanda Moroto kama kuna hata faili la uchunguzi limefunguliwa.
Wewe unaandika kwa kuwa tu una elimu ya ngumbaro (kusoma na kuandika), lakini kichwani hamna kitu.
..hakukuwa na haja ya kwenda kituo cha Polisi.
..Area D ktk makazi ya TL ni eneo linalolindwa 24/7.
..sasa ni nani aliondoa walinzi wote kuanzia wa getini mpaka wanaolinda kwa Naibu Spika na kwa mawaziri?
..
Polisi kwa nini wasiwakamate sasa hao Chadema? Mtu mpumbavu hajifichi hata iweje.
Serikali haifanyi kwa kukurupuka, lazima awepo mlalamikaji, same as TL case.Kwa nini Jamhuri haijafungua majalada ya kifo cha Chacha Wangwe au kujeruhiwa TL dhidi ya CHADEMA mpaka leo?
Mimi nabaki kwenye KITENDO CHENYEWE:Hili la tukio kutokea maeneo yanayo ishi watu professional assailants ambao ni trained vifuatacho vingekuwepo kuacha alama.
1) Kama ingekuwa lazima kutumia AK 47katika makazi ya watu basi yangeambatana na kufunga silencer kupunguza sauti.
2) Gari ya Mh. Tundu Lissu lingekuwa demobilised ikiwa na maana tairi lisinge weza kuondoka sehemu ya tukio wakati tukio likifanya.
3) Ingetumika aina nyingine ya silaha na sio AK47 . Silaha ambayo risasi zake zingeweza kupenya mabati ya magari bila kupungua uwezo wa hit the target and destroy.
4) Huyo Dreva tunaye mzungumza wa kusoma namba angekuwa hayupo kwa sababu ya ushahidi, He would be dead by now...
.5) Assailants wanarudia mazoezi ya hit target hata mara 100 ili pasitokee aina yeyote ya makosa kama ambavyo imetokea kwa Mh. Tundu Lissu, kwa hiyo hilo suala yuko Ubelgiji tusinge lizungumzia kwa sasa.
Serikali ndio inafanya uharamia, jitihada zenu za kuficha na kupotosha ziliishafeli kitambo, wajinga wako wapi ndio muwadanganye??Mashahidi wanakula kuku na kuitukana serikali huko nje, then mnataka pesa ya walipa kodi ifanye ujinga wenu? Grow up!
Serikali ndio inafanya uharamia, jitihada zenu za kuficha na kupotosha ziliishafeli kitambo, wajinga wako wapi ndio muwadanganye??
Kama wewe ni miongoni mwa wanajeshi wetu wanaotegemewa kulinda mipaka ya nchi hii basi nchi yetu ina bahati mbaya sana. Acha tu niishie hapaMkuu umejibebesha ufahamu na utambuzi wa scene of crime forensic analysis ambao nataka kukuthibitia wewe huna labda hayo matusi ambayo sisi wengine hatuyatumii katika kuelezea au kutoa michango yetu katika suala zito kama hili.
Mimi nabaki kwenye KITENDO CHENYEWE:Hili la tukio kutokea maeneo yanayo ishi watu professional assailants ambao ni trained vifuatacho vingekuwepo kuacha alama.
1) Kama ingekuwa lazima kutumia AK 47katika makazi ya watu basi yangeambatana na kufunga silencer kupunguza sauti.
2) Gari ya Mh. Tundu Lissu lingekuwa demobilised ikiwa na maana tairi lisinge weza kuondoka sehemu ya tukio wakati tukio likifanya.
3) Ingetumika aina nyingine ya silaha na sio AK47 . Silaha ambayo risasi zake zingeweza kupenya mabati ya magari bila kupungua uwezo wa hit the target and destroy.
4) Huyo Dreva tunaye mzungumza wa kusoma namba angekuwa hayupo kwa sababu ya ushahidi, He would be dead by now...
.5) Assailants wanarudia mazoezi ya hit target hata mara 100 ili pasitokee aina yeyote ya makosa kama ambavyo imetokea kwa Mh. Tundu Lissu, kwa hiyo hilo suala yuko Ubelgiji tusinge lizungumzia kwa sasa.
Mkuu kwa jinsi hili suala lilivyo kaa na mjadala mzima, tuna nyimwa nafasi kwa wenye ufahamu kutoka sehemu mbali mbali kuchangia ipasavyo ili wengi waelewe vyema
.
Kaka yake mzaliwa naMh. Mbowe marehemu, alikuwa afisa wa ngazi ya juu ya jeshi letu, naamini walipo kuwa wawili alimfahamisha vizuri. Katika maisha kuna kelele na ukweli na mara nyingi ukweli unazungumziwa na wachache wenye kufahamu.
Asante Mkuu naunga mkono kuwa dreva anaweza kutoa japo mwanga wa hili tukio.
Wewe uko theoretical mno na haukasoma posts za awali. Hii mission haikufanywa na professional assassins bali na rogue group within the system ndiyo maana hizo principles zako hadi applyMkuu umejibebesha ufahamu na utambuzi wa scene of crime forensic analysis ambao nataka kukuthibitia wewe huna labda hayo matusi ambayo sisi wengine hatuyatumii katika kuelezea au kutoa michango yetu katika suala zito kama hili.
Mimi nabaki kwenye KITENDO CHENYEWE:Hili la tukio kutokea maeneo yanayo ishi watu professional assailants ambao ni trained vifuatacho vingekuwepo kuacha alama.
1) Kama ingekuwa lazima kutumia AK 47katika makazi ya watu basi yangeambatana na kufunga silencer kupunguza sauti.
2) Gari ya Mh. Tundu Lissu lingekuwa demobilised ikiwa na maana tairi lisinge weza kuondoka sehemu ya tukio wakati tukio likifanya.
3) Ingetumika aina nyingine ya silaha na sio AK47 . Silaha ambayo risasi zake zingeweza kupenya mabati ya magari bila kupungua uwezo wa hit the target and destroy.
4) Huyo Dreva tunaye mzungumza wa kusoma namba angekuwa hayupo kwa sababu ya ushahidi, He would be dead by now...
.5) Assailants wanarudia mazoezi ya hit target hata mara 100 ili pasitokee aina yeyote ya makosa kama ambavyo imetokea kwa Mh. Tundu Lissu, kwa hiyo hilo suala yuko Ubelgiji tusinge lizungumzia kwa sasa.
Mkuu kwa jinsi hili suala lilivyo kaa na mjadala mzima, tuna nyimwa nafasi kwa wenye ufahamu kutoka sehemu mbali mbali kuchangia ipasavyo ili wengi waelewe vyema
.
Kaka yake mzaliwa naMh. Mbowe marehemu, alikuwa afisa wa ngazi ya juu ya jeshi letu, naamini walipo kuwa wawili alimfahamisha vizuri. Katika maisha kuna kelele na ukweli na mara nyingi ukweli unazungumziwa na wachache wenye kufahamu.
Asante Mkuu naunga mkono kuwa dreva anaweza kutoa japo mwanga wa hili tukio.
Toa ujinga wako hapa, kama hujui kitu soma tu kama wenzio. Kwenye jinai Plaintiff ni Republic na defendant ni raia au taasisi. Kwenye Civil Plaintiff waweza kuwa raia, Jamhuri au Taasisi na defendant hivyo hivyo.Serikali haifanyi kwa kukurupuka, lazima awepo mlalamikaji, same as TL case.
Toa ujinga wako hapa, kama hujui kitu soma tu kama wenzio. Kwenye jinai Plaintiff ni Republic na defendant ni raia au taasisi. Kwenye Civil Plaintiff waweza kuwa raia, Jamhuri au Taasisi na defendant hivyo hivyo.

Wewe uko theoretical mno na haukasoma posts za awali. Hii mission haikufanywa na professional assassins bali na rogue group within the system ndiyo maana hizo principles zako hadi apply
..IGP anadai wanamtaka TL arudi nchini kusaidia uchunguzi.
..sasa inasemekana IGP na DG Tiss wameandikiwa barua na CDM kuwaomba ushirikiano wa ULINZI ili TL atakaporudi awe SALAMA lakini hawajajibu.
..sasa katika mazingira hayo nani anakwamisha uchunguzi?
Juzu juzi tu mlikuwa mnaimba mapambio amepewa ulinzi na wajinga gani sijui wa dunia yenu, chacha mnalialia kama vitoto vilivyokosa lawalawa. You guys are disgusting even to be called Tanzanians.