Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

Mchangia mada wewe siyo mtu makini na kwenye hili Jukwaa bakia unasoma tu. Serikali ilikuwa na uwezo wa kumfuata Dereva wa TL Nairobi hata Brussels kama Ingekuwa na nia ya kufanya uchunguzi. Nenda Dodoma kamuulize Kamanda Moroto kama kuna hata faili la uchunguzi limefunguliwa.

Wewe unaandika kwa kuwa tu una elimu ya ngumbaro (kusoma na kuandika), lakini kichwani hamna kitu.
Mkuu umejibebesha ufahamu na utambuzi wa scene of crime forensic analysis ambao nataka kukuthibitia wewe huna labda hayo matusi ambayo sisi wengine hatuyatumii katika kuelezea au kutoa michango yetu katika suala zito kama hili.

Mimi nabaki kwenye KITENDO CHENYEWE:Hili la tukio kutokea maeneo yanayo ishi watu professional assailants ambao ni trained vifuatacho vingekuwepo kuacha alama.
1) Kama ingekuwa lazima kutumia AK 47katika makazi ya watu basi yangeambatana na kufunga silencer kupunguza sauti.
2) Gari ya Mh. Tundu Lissu lingekuwa demobilised ikiwa na maana tairi lisinge weza kuondoka sehemu ya tukio wakati tukio likifanya.
3) Ingetumika aina nyingine ya silaha na sio AK47 . Silaha ambayo risasi zake zingeweza kupenya mabati ya magari bila kupungua uwezo wa hit the target and destroy.
4) Huyo Dreva tunaye mzungumza wa kusoma namba angekuwa hayupo kwa sababu ya ushahidi, He would be dead by now...
.5) Assailants wanarudia mazoezi ya hit target hata mara 100 ili pasitokee aina yeyote ya makosa kama ambavyo imetokea kwa Mh. Tundu Lissu, kwa hiyo hilo suala yuko Ubelgiji tusinge lizungumzia kwa sasa.

Mkuu kwa jinsi hili suala lilivyo kaa na mjadala mzima, tuna nyimwa nafasi kwa wenye ufahamu kutoka sehemu mbali mbali kuchangia ipasavyo ili wengi waelewe vyema
.
Kaka yake mzaliwa naMh. Mbowe marehemu, alikuwa afisa wa ngazi ya juu ya jeshi letu, naamini walipo kuwa wawili alimfahamisha vizuri. Katika maisha kuna kelele na ukweli na mara nyingi ukweli unazungumziwa na wachache wenye kufahamu.

Asante Mkuu naunga mkono kuwa dreva anaweza kutoa japo mwanga wa hili tukio.
 
..hakukuwa na haja ya kwenda kituo cha Polisi.

..Area D ktk makazi ya TL ni eneo linalolindwa 24/7.

..sasa ni nani aliondoa walinzi wote kuanzia wa getini mpaka wanaolinda kwa Naibu Spika na kwa mawaziri?

..

Sasa kama kulikuwa hakuna haja ya kuondoa walinzi unalialia nini? Hizi shule mlikwenda kusoma matope?
 
Mimi nabaki kwenye KITENDO CHENYEWE:Hili la tukio kutokea maeneo yanayo ishi watu professional assailants ambao ni trained vifuatacho vingekuwepo kuacha alama.
1) Kama ingekuwa lazima kutumia AK 47katika makazi ya watu basi yangeambatana na kufunga silencer kupunguza sauti.
2) Gari ya Mh. Tundu Lissu lingekuwa demobilised ikiwa na maana tairi lisinge weza kuondoka sehemu ya tukio wakati tukio likifanya.
3) Ingetumika aina nyingine ya silaha na sio AK47 . Silaha ambayo risasi zake zingeweza kupenya mabati ya magari bila kupungua uwezo wa hit the target and destroy.
4) Huyo Dreva tunaye mzungumza wa kusoma namba angekuwa hayupo kwa sababu ya ushahidi, He would be dead by now...
.5) Assailants wanarudia mazoezi ya hit target hata mara 100 ili pasitokee aina yeyote ya makosa kama ambavyo imetokea kwa Mh. Tundu Lissu, kwa hiyo hilo suala yuko Ubelgiji tusinge lizungumzia kwa sasa.

..uko KINADHARIA zaidi.

..hili tukio ni HIT AND RUN kwa hiyo ulijadili ktk mazingira hayo.

1. Silencer haikuhitajika kwasababu WALINZI wote walikuwa wameondolewa.

2. Picha toka eneo la tukio zinaonyesha matairi yamepigwa risasi. Kwa hiyo wauwaji wali-demobilize gari ya TL.

3. Kwanza hakuna uhakika kwamba silaha iliyotumika ni AK-47. Aina ya silaha ni hisia za TL na dereva lakini hakuna taarifa ya WATAALAMU. Silaha iliyotumika ilikuwa na nguvu ya kutosha na ndiyo maana kila tabibu anaona TL amepona kwa MIUJIZA.

Labda ulitaka watumie RPG au explosive device.

4. Kupona kwa dereva ni muujiza mwingine. Kuna watu wanapona ktk ajali za ndege. Kuna Mjapani alipona shambulizi la Hiroshima, akakimbilia Nagasaki nako akapona. Je, utasema bomu la Nyuklia halifanyi kazi, au utamlaumu rubani aliyedondosha bomu?

5. Hakuna shambulizi lenye guarantee ya 100%. Hata ufanye mazoezi miaka 3 kuna suprise elements ambazo hutokea wakati wa shambulizi. TL amepona KIMIUJIZA, chances za kufa zilikuwa 99.99%.

6. Do not try to downplay UNYAMA aliofanyiwa. Kuna watu wamekufa kwa kupigwa risasi moja, sembuse 16 alizopigwa TL?
 
Wanao uliza kua kwanini camera ziliondolewa si wajinga.
Wanao uliza kwanini walinzi siku hiyo awakuwepo sio wajinga.
Wanao sema kuna mkono wa Serikali sio wajinga.
Wanao uliza ni hatua gani zimechukuliwa sio wajinga.
Wanao sema siku ya tukio Makonda akuwa DSM sio wajinga.
Wanao sema Shaka alisema Lissu atakutanishwa na kifo sio wajinga.
Wanao uliza mkuu kusema wapinzani washughulokiwe sio wajinga.
Wanauliza ilikuaje mkuu akasema ukiwa kwenye vita na kuna mtu anaenda kinyume na nyie askari wanakua cha kufanya sio wajinga.
Paskal hao wote wanao sema na kuuliza ayo sio wajinga ata siku mmoja...Uhai wa mtu ni muhimu kama nawe unavyopenda kuendelea kuishi.
 
Mashahidi wanakula kuku na kuitukana serikali huko nje, then mnataka pesa ya walipa kodi ifanye ujinga wenu? Grow up!
Serikali ndio inafanya uharamia, jitihada zenu za kuficha na kupotosha ziliishafeli kitambo, wajinga wako wapi ndio muwadanganye??
 
Tatizo akili sijui huwa mnashikiwa na nani, Serikali ipoteze pesa kwa ujinga wenu wenyewe! Huyo taahira anakula vinavyosazwa na makuwadi wake then Serikali yetu iache mambo ya maendeleo ya wananchi ifanye upuuzi wenu? Bungeni ipo Canteen, alikuwa anakwenda nyumbani kufanya nini wakati mwenyewe anasema alikuwa anafuatwa? How stupid can you be?
 
Mkuu umejibebesha ufahamu na utambuzi wa scene of crime forensic analysis ambao nataka kukuthibitia wewe huna labda hayo matusi ambayo sisi wengine hatuyatumii katika kuelezea au kutoa michango yetu katika suala zito kama hili.

Mimi nabaki kwenye KITENDO CHENYEWE:Hili la tukio kutokea maeneo yanayo ishi watu professional assailants ambao ni trained vifuatacho vingekuwepo kuacha alama.
1) Kama ingekuwa lazima kutumia AK 47katika makazi ya watu basi yangeambatana na kufunga silencer kupunguza sauti.
2) Gari ya Mh. Tundu Lissu lingekuwa demobilised ikiwa na maana tairi lisinge weza kuondoka sehemu ya tukio wakati tukio likifanya.
3) Ingetumika aina nyingine ya silaha na sio AK47 . Silaha ambayo risasi zake zingeweza kupenya mabati ya magari bila kupungua uwezo wa hit the target and destroy.
4) Huyo Dreva tunaye mzungumza wa kusoma namba angekuwa hayupo kwa sababu ya ushahidi, He would be dead by now...
.5) Assailants wanarudia mazoezi ya hit target hata mara 100 ili pasitokee aina yeyote ya makosa kama ambavyo imetokea kwa Mh. Tundu Lissu, kwa hiyo hilo suala yuko Ubelgiji tusinge lizungumzia kwa sasa.

Mkuu kwa jinsi hili suala lilivyo kaa na mjadala mzima, tuna nyimwa nafasi kwa wenye ufahamu kutoka sehemu mbali mbali kuchangia ipasavyo ili wengi waelewe vyema
.
Kaka yake mzaliwa naMh. Mbowe marehemu, alikuwa afisa wa ngazi ya juu ya jeshi letu, naamini walipo kuwa wawili alimfahamisha vizuri. Katika maisha kuna kelele na ukweli na mara nyingi ukweli unazungumziwa na wachache wenye kufahamu.

Asante Mkuu naunga mkono kuwa dreva anaweza kutoa japo mwanga wa hili tukio.
Kama wewe ni miongoni mwa wanajeshi wetu wanaotegemewa kulinda mipaka ya nchi hii basi nchi yetu ina bahati mbaya sana. Acha tu niishie hapa
 
Wewe uko theoretical mno na haukasoma posts za awali. Hii mission haikufanywa na professional assassins bali na rogue group within the system ndiyo maana hizo principles zako hadi apply
 
Serikali haifanyi kwa kukurupuka, lazima awepo mlalamikaji, same as TL case.
Toa ujinga wako hapa, kama hujui kitu soma tu kama wenzio. Kwenye jinai Plaintiff ni Republic na defendant ni raia au taasisi. Kwenye Civil Plaintiff waweza kuwa raia, Jamhuri au Taasisi na defendant hivyo hivyo.
 
Sasa unalialia nini?
 
..IGP anadai wanamtaka TL arudi nchini kusaidia uchunguzi.

..sasa inasemekana IGP na DG Tiss wameandikiwa barua na CDM kuwaomba ushirikiano wa ULINZI ili TL atakaporudi awe SALAMA lakini hawajajibu.

..sasa katika mazingira hayo nani anakwamisha uchunguzi?
 
Wewe uko theoretical mno na haukasoma posts za awali. Hii mission haikufanywa na professional assassins bali na rogue group within the system ndiyo maana hizo principles zako hadi apply

Unashindwa nini kwenda kuwashitaki? Au unangoja ruzuku?
 
..IGP anadai wanamtaka TL arudi nchini kusaidia uchunguzi.

..sasa inasemekana IGP na DG Tiss wameandikiwa barua na CDM kuwaomba ushirikiano wa ULINZI ili TL atakaporudi awe SALAMA lakini hawajajibu.

..sasa katika mazingira hayo nani anakwamisha uchunguzi?

Juzu juzi tu mlikuwa mnaimba mapambio amepewa ulinzi na wajinga gani sijui wa dunia yenu, chacha mnalialia kama vitoto vilivyokosa lawalawa. You guys are disgusting even to be called Tanzanians.
 
..basi tunaomba MTUSAMEHE.

..Polisi ni CCM. Mahakama CCM.

..nyinyi mmeshika mpini, sisi tumeshika makali.

..mpeni TL ulinzi ili muweze kumkamata aliyeondoa walinzi wa area D.
 
Back
Top Bottom