Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

..basi tunaomba MTUSAMEHE.

..Polisi ni CCM. Mahakama CCM.

..nyinyi mmeshika mpini, sisi tumeshika makali.

..mpeni TL ulinzi ili muweze kumkamata aliyeondoa walinzi wa area D.

Msamaha kwa lipi? Hao makuwadi wenu si mlisema watampa ulinzi? Corona imewakwamisha maana mabeberu wanapambana na Coruna ushenzi wenu hawana mpango nao. Charity begins at home! Kwa sababu mnapata ruzuku mnafikiri mnaishi kwenye Cuckooland. Pesa tutatumia kuwaletea maendeleo Watanzania sio nyinyi malofa na ujinga wenu.
 
N
Nimegundua hili Wacha1 ni robot

Hoja zimekushinda unakimbilia kwenye character assassination, what a stupid idea! Ukiona mtu mzima na akili zake za kushikiwa anakwenda low namna hii ni kumcheka tu. Khe ekhe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Msikilize Msechu pengine akili itakurudia . ..... ....

 
1585918_FB_IMG_1504880917630.jpg
lissu-shot-car.jpg
 
Aliyeshambulia hawezi kujichunguza. Aliyetaka kumuua Tundu Lissu ni Serikali kupitia Bashite na kikundi chake cha watu WASIOJULIKANA. Hata Serikali ya USA inajuwa ndiyo maana imemuorodhesha kwenye list ya watu ambao hawaruhusiwi kwenda Marekani kwa kuwa "anaondoa hata haki za kuishi" raia wengine
Aliyetaka shambulizi hili lionekane kama ni la Serikali ni mmoja tu
 
Mayalla ni kati ya watu wapuuzi sawasawa na kinyesi,heri ulivyopata ajali ya pikipiki mwaka ule ungekufa tu mbwa wewe!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Imokola, kwanza asante kuchangia uzi wangu huu, asante kushukuru nilivyopata ajali ya pikipiki nwaka ule, asante kuombea ulichoniombea na pia ulivyo niita.
Asante, na ubarikiwe sana.
P
 
Wanao uliza kua kwanini camera ziliondolewa si wajinga.
Wanao uliza kwanini walinzi siku hiyo awakuwepo sio wajinga.
Wanao sema kuna mkono wa Serikali sio wajinga.
Wanao uliza ni hatua gani zimechukuliwa sio wajinga.
Wanao sema siku ya tukio Makonda akuwa DSM sio wajinga.
Wanao sema Shaka alisema Lissu atakutanishwa na kifo sio wajinga.
Wanao uliza mkuu kusema wapinzani washughulokiwe sio wajinga.
Wanauliza ilikuaje mkuu akasema ukiwa kwenye vita na kuna mtu anaenda kinyume na nyie askari wanakua cha kufanya sio wajinga.
Paskal hao wote wanao sema na kuuliza ayo sio wajinga ata siku mmoja...Uhai wa mtu ni muhimu kama nawe unavyopenda kuendelea kuishi.
Mkuu Bishweko, kwanza asante kuchangia uzi wangu huu, pili hoja zako nazikubali sana..
P
 
Katika maisha kuna kelele na ukweli na mara nyingi ukweli unazungumziwa na wachache wenye kufahamu.
Mkuu Gerald Magembe, asante sana kwa michango yako very objective kwenye bandiko hili. Naunga mkono hoja kuhusu kelele na ukweli unaozungumzwa na wachache. Mwandishi Hendricks Ibsen katika kitabu cha An Enemy of the People, ameonyesha jinsi mkweli mmoja ameonekana adui kwenye jamii inayoamini ubatili.
P
 
Hoja zimekushinda unakimbilia kwenye character assassination, what a stupid idea! Ukiona mtu mzima na akili zake za kushikiwa anakwenda low namna hii ni kumcheka tu. Khe ekhe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Msikilize Msechu pengine akili itakurudia . ..... ....


Sawa nenda kwa Pole Pole au Bashite kachukue Buku 7 yako. Kazi yako imeonekana
 
Do not try to downplay UNYAMA aliofanyiwa. Kuna watu wamekufa kwa kupigwa risasi moja, sembuse 16 alizopigwa TL?
Mkuu Joka Kuu, kwanza ni kweli Tundu Lissu amefanyiwa tukio la kinyama, na hakuna binaadam yoyote mwenye utu na ubiadamu anaweza kufurahia tukio lile, tena naamini by now hata waliopanga na kutekeleza wanajuta, hivyo hakuna yoyote anaye try to Downplay, bali kwa vile mpaka sasa waliopanga na kutekeleza tukio lile ni watu wasiojulikana, zinatengenezwa postulates nyingi ili kuzitungia theory na kuzitafutia proof, sasa kwa vile moja ya theory hizo, waliofanya tukio hilo ni ma pro, hiyu jamaa yeye ni pro, anasema tukio hilo sio kazi ya ma amateurs ndio maana imelipuliwa, na wewe unasema they could be pro, you both might be right or wrong, kitu muhimu ni nawashukuru kwa hoja zenu na haswa uwezo wa ujengaji hoja na kuitetea hoja yako.

Mimi kwa upande wangu, wasiojulikana hawa niliisha wabaini siku nyingi na kuwaelezea humu
Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!. - JamiiForums
Hapa kwenye bandiko hili ni just the role of dereva wa Lissu, was he part and parcel or not, jibu litapatikana soon Lissu ameomba kurejea, tumsubirie
P
 
Kwenye hatari utafanya kila kitu ili uwe salama kwa nini hakuendesha gari kwenda Polisi? Wacha kushabikia usiyoyajua huu mchezo wa Chadema unajulikana na TL sio wa kwanza. Uliza ya Chacha Wangwe?
Mkuu msihangaike kutafuta wakumtupia huo mzigo wenu kwani kumeshapambazuka na kila mtu yuko macho. Bebeni wenyewe mpaka mwisho wa safari. Au mrudishieni yule aliyewapa maelekezo. Akwilina alipigwa risasi na polisi mchana kweupe lkn sote tumeona ni nani waliotiwa hatiani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mayalla pole na hongera sana, umewezaje kuwa reqular contributor hapa Jamii Forum kwa kiwango hichi katika jumuia ambayo au hawana ufahamu wa kuchangia au maadili ya kuchangia yako chini sana au ufahamu wa somo na tukio uko chini mnoo.

Pole sana, unabishana na wengi wasio jua na wenye kujua wanakalia ushabiki ambao unadhalilisha Jamii Forum,Hasa kwa wenye kujua Machine guns zinafanyaje kazi kuna ulazima na sio kubeza Dreva wa Lisu kusaidia upelelezi. Mayalla una ngozi ngumu , Asante.
Mkuu Gerald Magembe, asante kwa hii. Sisi watu wa fani ya uandishi wa habari, tunaangukia katika kundi la waelimishaji umma, hivyo tunapokutana na wabishi wa humu, tunawatumia kana fursa kwa kuutumia ubishi wao kuelimishia umma.
Kwenye hili la ngozi, ni kweli nina ngozi ngumu.
Asante.
P
 
Serikali haifanyi kwa kukurupuka, lazima awepo mlalamikaji, same as TL case.
Serikali hiyo unayodhani ni makini sana ndo hiyo hiyo kiongozi wake aliokota vichwa vya treni pale bandari ya Dar Kisha ikavinunua tena,serikali hiyo hiyo ikatutangazia kuwa Lugola ni muhujumu uchumi but hadi leo anadunda kitaa,Kama wewe si bashite kuiamini serikali hii kwamba is that professional ni vigumu sana
 
Sawa nenda kwa Pole Pole au Bashite kachukue Buku 7 yako. Kazi yako imeonekana

Only an idiot think the way you believe. It doesn't make sense for me or anyone else with his clear mind to be used like a toilet paper. I do not believe you have been used so.
 
Back
Top Bottom