TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

Rip kafara ya ubunge/ itakuwa mziki hauna hela kweli.
Tatizo mziki anaimba diamond,mgao apate salaam,tale,mkubwa fela bado madanser sijui director bado producer. Hivyo mapato siyo kivile. Na awamu hii madawa ya kulevya yamedhibitiwa ndo kabisa. Maana zamani walikuwa wakiuza ganda si haba wanapata pesa.
 
Habari zilizotufikia punde ni kuwa mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Hamisi Tale au Babu Tale) aitwaye Shamsa Tale almaarufu kama Shammy Nails amefariki.

Pole kwa familia ya Babu Tale maana ameacha watoto wadogo.

View attachment 1490835

View attachment 1490828
Dah! apumzike kwa amani nimeumia sana bora angekuwa yule mke wa said fella mama muuza mikorogo na mwenyewe ngozi kama kitimoto
 
Back
Top Bottom