Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,638
una experience na hivyo vifo?Umeandika ukweli mtupu. Vifo vya mke, mume, mtoto, Baba na Mama vinauma sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
una experience na hivyo vifo?Umeandika ukweli mtupu. Vifo vya mke, mume, mtoto, Baba na Mama vinauma sana.
wakinga nasikia hata kariakoo wameshika.hivi ottawa naye mkinga?Feo anaweza akawa ana gari ngapi?Sasa ushawahi kuona mkinga ana biashara ya hovyooh? Unadhan mmiliki wa mabasi ya super feo n nan? Na unajua habari zakee? Haya unamjua Ottawa vizuri? Ushawahi sikia habari zake?
Kaa kimya weee Acha kucheza na damu ya kiumbe chenye uhai na utashi. Sasa nikuambie Songea nzima imeshikiliwa na Wakinga na Wachaga, na tunajua habari zao wote.
Nkukumbushe km unakumbuka kipindi soko kuu la songea linaungua kuna mfanya biashara maarufu alilia sana kisa paka wake kuungua, na alitoa siri zote za biashara yake siku hiyo.
Unasema nini wee khaaaah.
rip na pole sanaHabari zilizotufikia punde ni kuwa mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Hamisi Tale au Babu Tale) aitwaye Shamsa Tale almaarufu kama Shammy Nails amefariki.
Pole kwa familia ya Babu Tale maana ameacha watoto wadogo.
View attachment 1490835
View attachment 1490828
Ottawa mama ake n mkinga na baba ake n mndendeule, ila maisha yake kwa ujumla yapo makambako (ukingani). Feo anazo gari zaidi ya 20 +.wakinga nasikia hata kariakoo wameshika.hivi ottawa naye mkinga?Feo anaweza akawa ana gari ngapi?
don't panic, you never know,labda jamaa hajapata habariHii inanipa picha utu sasa umekwisha ,pesa imefunika utu wetu na udugu wetu... Niliona kwa diamond katika sakata la kifo cha Ruge.... Sasa Leo Millard ayo kapotezea kabisa juu ya msiba Wa mke Wa babu tale.... Jamani just advice to you people....pesa zitabaki duniani daima....Bali kila nafsi kuonja mauti.... Jaribu kuliweka file lako la duniani vizuri... Chuki,fitina ,visasi,majigambo havijengi.... Kumbukeni yupo mwenye kutupa uzima na hii hafya ....kesho akichukua pumzi yake sisi ni takataka ,akichukua hafya yake nakwambia marafiki wote watakukimbia....hata wakukupa panadol utamkosa....... People are good when you are good......
Wewe utaelimika lini ?Hii inanipa picha utu sasa umekwisha ,pesa imefunika utu wetu na udugu wetu... Niliona kwa diamond katika sakata la kifo cha Ruge.... Sasa Leo Millard ayo kapotezea kabisa juu ya msiba Wa mke Wa babu tale.... Jamani just advice to you people....pesa zitabaki duniani daima....Bali kila nafsi kuonja mauti.... Jaribu kuliweka file lako la duniani vizuri... Chuki,fitina ,visasi,majigambo havijengi.... Kumbukeni yupo mwenye kutupa uzima na hii hafya ....kesho akichukua pumzi yake sisi ni takataka ,akichukua hafya yake nakwambia marafiki wote watakukimbia....hata wakukupa panadol utamkosa....... People are good when you are good......
Feo nasikia kaka ake sijui mdogo wake alifarikiOttawa mama ake n mkinga na baba ake n mndendeule, ila maisha yake kwa ujumla yapo makambako (ukingani). Feo anazo gari zaidi ya 20 +.
Kwani hiyo ndio blog ya taifa kuwa kila tukio lazima liwekwe hapo?? Yaani watz bwana mambo ya muhimu wala hamna habari nazo ila yasiyo na tija ndio mnayashupalia?!!! Yaani ungelalamika labda kwanini matukio ya siasa hasa za upinzani hana habari nazo ungeeleweka kwa kuwa siasa ni maisha, lakini eti kifo cha fulani?!!!! Tuna safari ndefu sana, mambo ya kimbea yana maana kuliko hatima ya maisha ya watu!!!Hii inanipa picha utu sasa umekwisha ,pesa imefunika utu wetu na udugu wetu... Niliona kwa diamond katika sakata la kifo cha Ruge.... Sasa Leo Millard ayo kapotezea kabisa juu ya msiba Wa mke Wa babu tale.... Jamani just advice to you people....pesa zitabaki duniani daima....Bali kila nafsi kuonja mauti.... Jaribu kuliweka file lako la duniani vizuri... Chuki,fitina ,visasi,majigambo havijengi.... Kumbukeni yupo mwenye kutupa uzima na hii hafya ....kesho akichukua pumzi yake sisi ni takataka ,akichukua hafya yake nakwambia marafiki wote watakukimbia....hata wakukupa panadol utamkosa....... People are good when you are good......
[emoji23][emoji23][emoji23]kwahiyo watu wote wamepost kasoro mmakonde tuKapost bhana....ila n picha ya mkewe tuuuu na clouds ndo wamepost wote kwa pamoja.....ila kwa konde boy bila bila until now.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app