TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

Sasa ushawahi kuona mkinga ana biashara ya hovyooh? Unadhan mmiliki wa mabasi ya super feo n nan? Na unajua habari zakee? Haya unamjua Ottawa vizuri? Ushawahi sikia habari zake?

Kaa kimya weee Acha kucheza na damu ya kiumbe chenye uhai na utashi. Sasa nikuambie Songea nzima imeshikiliwa na Wakinga na Wachaga, na tunajua habari zao wote.

Nkukumbushe km unakumbuka kipindi soko kuu la songea linaungua kuna mfanya biashara maarufu alilia sana kisa paka wake kuungua, na alitoa siri zote za biashara yake siku hiyo.

Unasema nini wee khaaaah.
wakinga nasikia hata kariakoo wameshika.hivi ottawa naye mkinga?Feo anaweza akawa ana gari ngapi?
 
Ottawa mama ake n mkinga na baba ake n mndendeule, ila maisha yake kwa ujumla yapo makambako (ukingani). Feo anazo gari zaidi ya 20 +.
 
Ubunge mafanikio ubunge unamaliza mdugu kisa ubunge jamani?? Baba dada kaka mke ubunge tu wote huo?
 
Hii inanipa picha utu sasa umekwisha ,pesa imefunika utu wetu na udugu wetu... Niliona kwa diamond katika sakata la kifo cha Ruge.... Sasa Leo Millard ayo kapotezea kabisa juu ya msiba Wa mke Wa babu tale.... Jamani just advice to you people....pesa zitabaki duniani daima....Bali kila nafsi kuonja mauti.... Jaribu kuliweka file lako la duniani vizuri... Chuki,fitina ,visasi,majigambo havijengi.... Kumbukeni yupo mwenye kutupa uzima na hii hafya ....kesho akichukua pumzi yake sisi ni takataka ,akichukua hafya yake nakwambia marafiki wote watakukimbia....hata wakukupa panadol utamkosa....... People are good when you are good......
 
Kapost bhana....ila n picha ya mkewe tuuuu na clouds ndo wamepost wote kwa pamoja.....ila kwa konde boy bila bila until now.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Tusipende kupingana na ukweli...palipo na ukweli n ivizuri kusemwa.....utamaduni
 
Kama ni taarifa muhimu Millard Ayo angeandika maana mm hata huyo mwanamke si mjui anahusiana nn na industry ya muziki alafu unamtoleaje mfano huyo mwanamke na Ruge! Ni watu wawili tofauti kuanzia ukubwa hadi umaarufu.
 
Hii inanipa picha utu sasa umekwisha ,pesa imefunika utu wetu na udugu wetu... Niliona kwa diamond katika sakata la kifo cha Ruge.... Sasa Leo Millard ayo kapotezea kabisa juu ya msiba Wa mke Wa babu tale.... Jamani just advice to you people....pesa zitabaki duniani daima....Bali kila nafsi kuonja mauti.... Jaribu kuliweka file lako la duniani vizuri... Chuki,fitina ,visasi,majigambo havijengi.... Kumbukeni yupo mwenye kutupa uzima na hii hafya ....kesho akichukua pumzi yake sisi ni takataka ,akichukua hafya yake nakwambia marafiki wote watakukimbia....hata wakukupa panadol utamkosa....... People are good when you are good......
don't panic, you never know,labda jamaa hajapata habari
 
Wewe utaelimika lini ?

Why are u so obssessed with so silly stuff ?
 
Hii inanipa picha utu sasa umekwisha ,pesa imefunika utu wetu na udugu wetu... Niliona kwa diamond katika sakata la kifo cha Ruge.... Sasa Leo Millard ayo kapotezea kabisa juu ya msiba Wa mke Wa babu tale.... Jamani just advice to you people....pesa zitabaki duniani daima....Bali kila nafsi kuonja mauti.... Jaribu kuliweka file lako la duniani vizuri... Chuki,fitina ,visasi,majigambo havijengi.... Kumbukeni yupo mwenye kutupa uzima na hii hafya ....kesho akichukua pumzi yake sisi ni takataka ,akichukua hafya yake nakwambia marafiki wote watakukimbia....hata wakukupa panadol utamkosa....... People are good when you are good......
Kwani hiyo ndio blog ya taifa kuwa kila tukio lazima liwekwe hapo?? Yaani watz bwana mambo ya muhimu wala hamna habari nazo ila yasiyo na tija ndio mnayashupalia?!!! Yaani ungelalamika labda kwanini matukio ya siasa hasa za upinzani hana habari nazo ungeeleweka kwa kuwa siasa ni maisha, lakini eti kifo cha fulani?!!!! Tuna safari ndefu sana, mambo ya kimbea yana maana kuliko hatima ya maisha ya watu!!!
 
Mtu kama hampatani, hamuelewani, au ni maadui mkiwa hai, sasa ukifa ndio ujifanye unampenda? Ni kukaa kimya, ili mradi Mungu ndio kapanga kumchukua, utakuwa unafiki kujipendekeza kwa marehemu, wakati akiwa hai humtaki, ghafla katoweka unapeleka vimiguu vyako na uso wa huzuni fake.. Hakuna haja
 
Back
Top Bottom