Katelephone akae mguu sawaVyeo vya huko hamna kitu.
Katelephone akae mguu sawa
Waziri Mkuu,lazima awe Mbunge kutoka Jimbo la uchaguzi!!Katelephone akae mguu sawa
Mkuu una maneno ya shombo sana, comments zako lazima ziniachage hoiWaziri mkuu lazima atokane na jimbo
Pia Shamsi aliwahi kuwa Waziri wa mambo ya ndani
Nahisi kuna joto la kisiasa Znz na wahafidhina bado hawajakubali Mzaramo wa mkuranga kuwaletea Mambo ya uchumi wa Buluu hapo panapozwa pozwa kidogo
Hii sababu yako inawezekana kabisa.Waziri mkuu lazima atokane na jimbo
Pia Shamsi aliwahi kuwa Waziri wa mambo ya ndani
Nahisi kuna joto la kisiasa Znz na wahafidhina bado hawajakubali Mzaramo wa mkuranga kuwaletea Mambo ya uchumi wa Buluu hapo panapozwa pozwa kidogo
Zumaridi hajielewi anateua tu wastaafu kutoka znz kuwapa ulajiUkiwa waziri kiongozi wa Zanzibar si unalipwa hadi kufa sasa ubunge wa viti maalum wa nini tena?
Na alipata cheo akiwa na umri mdogoShamsi alilazimishwa kuacha ndoto yake ya kuwa Rais wa Zanzibar sababu ya bwana yule alipoenda Zanzibar ikawa hakuna namna.
Wakamuweka pembeni akiwa hana pa kushika naona kabisa huyu wanampooza na kacheo maana alishafika level ya juu Sasa hivi wanampa ili aamini kwamba atapanda tena Ila ndio nae anamalizia Kama yule makamu wa Rais alyepewa mkasi tu 😃
Ukiwa waziri kiongozi wa Zanzibar si unalipwa hadi kufa sasa ubunge wa viti maalum wa nini tena?
Waziri mkuu lazima atokane na jimbo
Pia Shamsi aliwahi kuwa Waziri wa mambo ya ndani
Nahisi kuna joto la kisiasa Znz na wahafidhina bado hawajakubali Mzaramo wa mkuranga kuwaletea Mambo ya uchumi wa Buluu hapo panapozwa pozwa kidogo
Captain Mkuchika hakuwahi kuwa waziri kiongozi au waziri mkuu.unamshangaa shamsi umesahau captain mkuchika
Jibu langu limejikita kwenye umri lakini kazi zao za utumishi au utiss zilizotukuka zimepelekea watafia kwenye majukumuCaptain Mkuchika hakuwahi kuwa waziri kiongozi au waziri mkuu.
Zama za vyeo kwa kujuana zimerudiUkiwa waziri kiongozi wa Zanzibar si unalipwa hadi kufa sasa ubunge wa viti maalum wa nini tena?
Ha ha ha nimelikubali jina hiliZumaridi hajielewi anateua tu wastaafu kutoka znz kuwapa ulaji