Shamsi Vuai Nahodha si aliwahi kuwa Waziri Kiongozi Zanzibar?

Wazee wengi wamechoka sana na kutegemea serikali kama biashara zao. Yaani kwa ufupi huyu mzee imebidi aombewe kazi ataenda Bungeni pale hana lipya wala hajui Dunia inaendeje siku hizi lakini atakuwa analipwa! na vilevile tutasikia anaomba uwaziri!
Anaenda kuongeza idadi ya wanaosinzia.
 
...
Pia Shamsi aliwahi kuwa Waziri wa mambo ya ndani

Nahisi kuna joto la kisiasa Znz na wahafidhina bado hawajakubali Mzaramo wa mkuranga kuwaletea Mambo ya uchumi wa Buluu hapo panapozwa pozwa kidogo
Mkuu umeandika jambo gumu sana big up, some can't understand this.
 
Huuyu jamaa chumia tumbo, akiwa waziri wa mambo ya ndani aliishi hotelini na bibi mbili kwa gharama ya kodi zetu akidai nyumba aliyopewa haikuwa na hadhi inayofanana naye
Sasa ndio amerudi tena
 
Hii ni sawa umteue Lowasa au Sumaye kuwa mbunge inafikirisha
Ni kweli Waziri kiongozi wa Zanzibar ni sawa na Waziri mkuu

Anyway Tatizo nafikiri kuna mtu akifikia ngazi kubwa kama hizo huwa hana kitu kingine cha kufanya na hajui afanye basi inabidi tua arudi kwenye siasa maana hana alijualo nje ya siasa ndio.maana ukiona hata hao akina Lowasa na Sumaye bado walikuwa wakihangaika na siasa kwa kwenda Chadema sababu nje ya siasa ni mambumbu hawajui lolote na wafanye nini wakiwa nje ya siasa!!!

Mtu pekee naweza kusema anayejua cha kufanya nje ya siasa Chenye kumshughulisha na chenye impact kubwa ni Mizengo Pinda tu.Yuko busy na mashamba yake ya mfano kitaifa

Hao wengine kazi kuota siasa tu.Wakiwa nje ya siasa hawajui wafanye nini pamoja na mivyeo mikubwa ya juu waliyowahi kufikia .Very sad
 
Huuyu jamaa chumia tumbo, akiwa waziri wa mambo ya ndani aliishi hotelini na bibi mbili kwa gharama ya kodi zetu akidai nyumba aliyopewa haikuwa na hadhi inayofanana naye

Shamsi hajawahi kuwa waziri wa Mambo ya ndani
 
Ni kweli Waziri kiongozi wa Zanzibar ni sawa na Waziri mkuu

Anyway Tatizo nafikiri kuna mtu akifikia ngazi kubwa kama hizo huwa hana kitu kingine cha kufanya na hajui afanye basi inabidi tua arudi kwenye siasa maana hana alijualo nje ya siasa ndio.maana ukiona hata hao akina Lowasa na Sumaye bado walikuwa wakihangaika na siasa kwa kwenda Chadema sababu nje ya siasa ni mambumbu hawajui lolote na wafanye nini wakiwa nje ya siasa!!!

Mtu pekee naweza kusema anayejua cha kufanya nje ya siasa Chenye kumshughulisha na chenye impact kubwa ni Mizengo Pinda tu.Yuko busy na mashamba yake ya mfano kitaifa

Hao wengine kazi kuota siasa tu.Wakiwa nje ya siasa hawajui wafanye nini pamoja na mivyeo mikubwa ya juu waliyowahi kufikia .Very sad
Pinda kweli kajitwist vizuri... Ila inshu si pesa wala nini.
 
Je anaandaliwa kuwa makamu wa rais wa Mwigulu au wa Mwezi wa kwanza?
Muda utaongea 2030.
 
Sasa unataka akae nyumbani awe anakata kata garden wakati bado mda wa kustaafu[emoji23]
 
Shamsi hajawahi kuwa waziri wa Mambo ya ndani
Kumbuka mwaka ule mtoto alipotumbukia kwenye dimbwi la maji pale karibu na mlimani city, alitoa tamko kwa watu wa uokoaji baada ya kushindwa kumtoa yule mtoto, kuna raia alijitosa akazama kwenda kuutoa mwili wa yule mtoto majini baada ya hao zima mtoto kushindwa, Nahodha aliwashauri zimamoto wamuajiri yule raia kwa kufanikiwa kupatikana kwa mwili wa yule mtoto.

Nawasilisha nawe endelea kupinga kwa hoja
 
Back
Top Bottom