mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,490
- 138,365
Acha watu wapewe maulajj mzeeUkiwa waziri kiongozi wa Zanzibar si unalipwa hadi kufa sasa ubunge wa viti maalum wa nini tena?
Ova
Acha watu wapewe maulajj mzeeUkiwa waziri kiongozi wa Zanzibar si unalipwa hadi kufa sasa ubunge wa viti maalum wa nini tena?
mzee wa kukata utepeShamsi alilazimishwa kuacha ndoto yake ya kuwa Rais wa Zanzibar sababu ya bwana yule alipoenda Zanzibar ikawa hakuna namna.
Wakamuweka pembeni akiwa hana pa kushika naona kabisa huyu wanampooza na kacheo maana alishafika level ya juu Sasa hivi wanampa ili aamini kwamba atapanda tena Ila ndio nae anamalizia Kama yule makamu wa Rais alyepewa mkasi tu 😃
😁😁😁😁😁😁Katelephone akae mguu sawa
Nami pia nawaza hivyo hivyo😁😁😁😁😁Baraza la Mawaziri litabadilishwa muda wowote
Anakuja kupewa uwaziri yakhe, hayo ya waziri kiongozi anayajua aliyemteua, Sansiba hoyee, nchi ina wenyewe na wenyewe ni wanaoteuliwa huku wakiwa walishataafu au wanarudishwa kwenye nyadhifa zao za zamani.Ukiwa waziri kiongozi wa Zanzibar si unalipwa hadi kufa sasa ubunge wa viti maalum wa nini tena?
Bila kumsahau Mzee wa Bao la dakika za majeruhi, Jasusi mahiriZama za vyeo kwa kujuana zimerudi
Hukuelewa kuanzia uteuzi wa January, Nape, Ridhiwani, today Shamsi
Kesho usishangae kuwasikia Shukuru Kawambwa, Hawa Ghasia, na Ramadhan Dau
Ukiwa waziri kiongozi wa Zanzibar si unalipwa hadi kufa sasa ubunge wa viti maalum wa nini tena?
Waziri mkuu lazima awe mbunge wa jimboKatelephone akae mguu sawa
Ukiwa waziri kiongozi wa Zanzibar si unalipwa hadi kufa sasa ubunge wa viti maalum wa nini tena?
Ha ha ha alipauka vibayaUkiwa waziri kiongozi wa Zanzibar si unalipwa hadi kufa sasa ubunge wa viti maalum wa nini tena?
Katelephone akae mguu sawa
Hivi ukishalipwa ndoto zako zinakufa?Ukiwa waziri kiongozi wa Zanzibar si unalipwa hadi kufa sasa ubunge wa viti maalum wa nini tena?
Huuyu jamaa chumia tumbo, akiwa waziri wa mambo ya ndani aliishi hotelini na bibi mbili kwa gharama ya kodi zetu akidai nyumba aliyopewa haikuwa na hadhi inayofanana nayeUkiwa waziri kiongozi wa Zanzibar si unalipwa hadi kufa sasa ubunge wa viti maalum wa nini tena?
🤣statement inanikumbusha vieite😅ya slowslowunafahamu connection wewe ?