Shamsi Vuai Nahodha si aliwahi kuwa Waziri Kiongozi Zanzibar?

Shamsi Vuai Nahodha si aliwahi kuwa Waziri Kiongozi Zanzibar?

Mtu pekee naweza kusema anayejua cha kufanya nje ya siasa Chenye kumshughulisha na chenye impact kubwa ni Mizengo Pinda tu.Yuko busy na mashamba yake ya mfano kitaifa
Huyu alimsoma na kumwelewa vema hayati Mwl. J. K. Nyerere na ndiyo maana mpaka sasa yuko that direction
 

​

Ukiwa waziri kiongozi wa Zanzibar si unalipwa hadi kufa? Sasa ubunge wa Viti Maalum wa nini tena?

View attachment 2150902

View attachment 2150901

Shamsi Vuai Nahodha anaandaliwa kuja kuwa waziri huko bara ili awaongoze vizuri.​

Muungano ni mzuri sana ,unakuwa waziri visiwani yalikushinda unahamia bara unakuwa tena waziri.​

Prof Makame Mbarawa alikuwa waziri huko bara enzi ya JPM yakamshinda akakimbilia kugombea Urais visiwani akashindwa, akageuka nyuma akaitiwa uwaziri huko bara. Muungano ni mzuri sana.​

Hussein mwinyi alikuwa waziri wa afya bara, waziri wa ulinzi bara yakamshinda akahamia visiwani akawa Rais muda wake ukiisha anahamia bara nyumbani kwake msaranga pwani kuishi. Muungano ni mzuti sana.​

Mama Samia alikuwa mbunge visiwani yakamshinda akahamia bara JK akampa uwaziri leo ni Rais wa bara , muda wake ukiisha anarudi zake visiwani kupumzika.Muungano ni mzuri sana.​

 
Wazee wengi wamechoka sana na kutegemea serikali kama biashara zao. Yaani kwa ufupi huyu mzee imebidi aombewe kazi ataenda Bungeni pale hana lipya wala hajui Dunia inaendeje siku hizi lakini atakuwa analipwa! na vilevile tutasikia anaomba uwaziri!

Uwaziri huombwa?
 
Zama za vyeo kwa kujuana zimerudi

Hukuelewa kuanzia uteuzi wa January, Nape, Ridhiwani, today Shamsi

Kesho usishangae kuwasikia Shukuru Kawambwa, Hawa Ghasia, na Ramadhan Dau
Mbaya zaidi teuzi zimeegemea dini moja 90%
 
Waziri mkuu lazima atokane na jimbo

Pia Shamsi aliwahi kuwa Waziri wa mambo ya ndani

Nahisi kuna joto la kisiasa Znz na wahafidhina bado hawajakubali Mzaramo wa mkuranga kuwaletea Mambo ya uchumi wa Buluu hapo panapozwa pozwa kidogo
Una akili sana wewe.
 
Waziri mkuu lazima atokane na jimbo

Pia Shamsi aliwahi kuwa Waziri wa mambo ya ndani

Nahisi kuna joto la kisiasa Znz na wahafidhina bado hawajakubali Mzaramo wa mkuranga kuwaletea Mambo ya uchumi wa Buluu hapo panapozwa pozwa kidogo
Naona una hoja haswa.......umechungulia Kwa jicho kali sana
 
Back
Top Bottom