Shamsi Vuai Nahodha si aliwahi kuwa Waziri Kiongozi Zanzibar?

Waziri mkuu lazima atokane na jimbo

Pia Shamsi aliwahi kuwa Waziri wa mambo ya ndani

Nahisi kuna joto la kisiasa Znz na wahafidhina bado hawajakubali Mzaramo wa mkuranga kuwaletea Mambo ya uchumi wa Buluu hapo panapozwa pozwa kidogo
Mkuu una maneno ya shombo sana, comments zako lazima ziniachage hoi
 
Shamsi alilazimishwa kuacha ndoto yake ya kuwa Rais wa Zanzibar sababu ya bwana yule alipoenda Zanzibar ikawa hakuna namna.

Wakamuweka pembeni akiwa hana pa kushika naona kabisa huyu wanampooza na kacheo maana alishafika level ya juu Sasa hivi wanampa ili aamini kwamba atapanda tena Ila ndio nae anamalizia Kama yule makamu wa Rais alyepewa mkasi tu 😃
 
Waziri mkuu lazima atokane na jimbo

Pia Shamsi aliwahi kuwa Waziri wa mambo ya ndani

Nahisi kuna joto la kisiasa Znz na wahafidhina bado hawajakubali Mzaramo wa mkuranga kuwaletea Mambo ya uchumi wa Buluu hapo panapozwa pozwa kidogo
Hii sababu yako inawezekana kabisa.
 
Na alipata cheo akiwa na umri mdogo
 
Waziri mkuu lazima atokane na jimbo

Pia Shamsi aliwahi kuwa Waziri wa mambo ya ndani

Nahisi kuna joto la kisiasa Znz na wahafidhina bado hawajakubali Mzaramo wa mkuranga kuwaletea Mambo ya uchumi wa Buluu hapo panapozwa pozwa kidogo

unamshangaa shamsi umesahau captain mkuchika
Captain Mkuchika hakuwahi kuwa waziri kiongozi au waziri mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…