Shamsi Vuai Nahodha si aliwahi kuwa Waziri Kiongozi Zanzibar?

mzee wa kukata utepe
 
Ukiwa waziri kiongozi wa Zanzibar si unalipwa hadi kufa sasa ubunge wa viti maalum wa nini tena?
Anakuja kupewa uwaziri yakhe, hayo ya waziri kiongozi anayajua aliyemteua, Sansiba hoyee, nchi ina wenyewe na wenyewe ni wanaoteuliwa huku wakiwa walishataafu au wanarudishwa kwenye nyadhifa zao za zamani.
 
Zama za vyeo kwa kujuana zimerudi

Hukuelewa kuanzia uteuzi wa January, Nape, Ridhiwani, today Shamsi

Kesho usishangae kuwasikia Shukuru Kawambwa, Hawa Ghasia, na Ramadhan Dau
Bila kumsahau Mzee wa Bao la dakika za majeruhi, Jasusi mahiri
 
Ukiwa waziri kiongozi wa Zanzibar si unalipwa hadi kufa sasa ubunge wa viti maalum wa nini tena?


Wazee wengi wamechoka sana na kutegemea serikali kama biashara zao. Yaani kwa ufupi huyu mzee imebidi aombewe kazi ataenda Bungeni pale hana lipya wala hajui Dunia inaendeje siku hizi lakini atakuwa analipwa! na vilevile tutasikia anaomba uwaziri!
 
Nimekumbuka sura yake ilivyotepeta ghafla pale Chamwino wakati jina lake linafyekelewa mbali kwenye mchujo wa wagombea urais Zanzibar ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…