Baljurashi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 1,628
- 2,720
Ramadhan ni muhimu sana ndio. Kuna kundi kubwa la raia wa nchi hii (Waislam) wanaipa umuhimu mkubwa sana. Allah amuongoze na amhifadhi ndugu yetu Hussein Bashe. Mnamuandama kwa sababu ya Uislam wake tu. Mbona kuna waliosema umeme usikatwe kirisimasi na mwaka mpya na hakukuwa na nongwa?Kasema ukweli wapi? Kwa mtu mwenye hekima hakutakiwa kusema vile. Ndiyo maana leo karekebisha, kasema sukari itapatikana mwezi ujao. Kusema itapatika by Ramadhani ni kama inaonyesha ramadhani ni muhimu sana hivyo sukari lazima ipatikane ila kwa sasa tuvumilie
Mnapenda sana kusakama viongozi Waislam. Na mnapenda kulaumu Waislam kwa "udini" au kuwashutumu kwa kulalamika "vitu vidogo" kumbe ni matatizo yenu haya sio yetu. Watu mmejaa husda na chuki mnatafuta fursa ya kuzitoa vifuani. Na bado mkiyatoa mnayoyaficha ni makubwa zaidi.