sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Njia pekee ya Israel kujilinda kwa sasa ni kutoa DOZI
Nakumbuka siku ya kwanza Israel ilipovamiwa, Hamas waliitwa kila aina ya majina ya kishujaa na shangwe zilipigwa sana kiasi kwamba watu hawa walianza kuota ndoto za mchana kwamba Israel inaenda kumezwa ?
Hali ya sasa ni tofauti kabisa, watu hao hao walioshabkia Hamas kuchinja na kuchukua mateka, Leo hii wanalalamika wanaonewa na nguvu kubwa inatumika kuomba vita iishe (cease fire).