sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Njia pekee ya Israel kujilinda kwa sasa ni kutoa DOZI
Nakumbuka siku ya kwanza Israel ilipovamiwa, Hamas waliitwa kila aina ya majina ya kishujaa na shangwe zilipigwa sana kiasi kwamba watu hawa walianza kuota ndoto za mchana kwamba Israel inaenda kumezwa ?
Hali ya sasa ni tofauti kabisa, watu hao hao walioshabilia Hamas kuua na kuchukua mateka, Leo hii wanalalamika wanaonewa na nguvu kubwa inatumika kuomba vita iishe (cease fire).
Vita haviko selective kama unavyofikiri, mashambulizi yanalenga kule projectiles zinapotokea, iwe ni Palestina au Hamas hilo litaangaliwa baadae.Ungekuwa naufaham wa angalau kutofautisha kati ya Hamas na Palestina Ungejua kuwa ulicho andika hakina umuhimu wowote
Kwa kukusaidia tu, Nguvu inatumika kuomba Marekani ambaye ndiye anawasaidia Waisrael waache kuua Wapelestina wasiokuwa na hatia...
Nyongeza: Waisrael 20% ni Waislam na waliobakia ni Jewish/ hakuna wakristo kule au niseme ni kwenye 1.8%
Itakuwa mfayagia Kanisa wewe. Hamas walipovamia Israel walikua wanalipa kisasi na hajaua watoto. Lkn marekani na Israel baada kupigana na hamas anapigana na watoto wa changa. Hivi vita ni vya kidini dhidi ya waislam dunianiNjia pekee ya Israel kujilinda kwa sasa ni kutoa DOZI
Nakumbuka siku ya kwanza Israel ilipovamiwa, Hamas waliitwa kila aina ya majina ya kishujaa na shangwe zilipigwa sana kiasi kwamba watu hawa walianza kuota ndoto za mchana kwamba Israel inaenda kumezwa ?
Hali ya sasa ni tofauti kabisa, watu hao hao walioshabilia Hamas kuua na kuchukua mateka, Leo hii wanalalamika wanaonewa na nguvu kubwa inatumika kuomba vita iishe
Iran kawaingiza cha Kike Hamas, kawapa Silaha, kawaambia Lianzisheni then mimi ntaingilia kati, safari hii, lazima tuifute Israel, Baada ya Mashambulizi kuanza...!Njia pekee ya Israel kujilinda kwa sasa ni kutoa DOZI
Nakumbuka siku ya kwanza Israel ilipovamiwa, Hamas waliitwa kila aina ya majina ya kishujaa na shangwe zilipigwa sana kiasi kwamba watu hawa walianza kuota ndoto za mchana kwamba Israel inaenda kumezwa ?
Hali ya sasa ni tofauti kabisa, watu hao hao walioshabilia Hamas kuua na kuchukua mateka, Leo hii wanalalamika wanaonewa na nguvu kubwa inatumika kuomba vita iishe (cease fire).
Hata hivyo hujajibu swali la huyo jamaaUngekuwa naufaham wa angalau kutofautisha kati ya Hamas na Palestina Ungejua kuwa ulicho andika hakina umuhimu wowote
Kwa kukusaidia tu, Nguvu inatumika kuomba Marekani ambaye ndiye anawasaidia Waisrael waache kuua Wapelestina wasiokuwa na hatia...
Nyongeza: Waisrael 20% ni Waislam na waliobakia ni Jewish/ hakuna wakristo kule au niseme ni kwenye 1.8%
Weka ushahidi mkuu ktk hili...Hamas walipovamia Israel walikua wanalipa kisasi na hajaua watoto
Njia pekee ya Israel kujilinda kwa sasa ni kutoa DOZI
Nakumbuka siku ya kwanza Israel ilipovamiwa, Hamas waliitwa kila aina ya majina ya kishujaa na shangwe zilipigwa sana kiasi kwamba watu hawa walianza kuota ndoto za mchana kwamba Israel inaenda kumezwa ?
Hali ya sasa ni tofauti kabisa, watu hao hao walioshabilia Hamas kuua na kuchukua mateka, Leo hii wanalalamika wanaonewa na nguvu kubwa inatumika kuomba vita iishe (cease fire).
Hamas hawajaua watoto mbona hii dini yenu imejaa watu waongo eti na unafiki?Itakuwa mfayagia Kanisa wewe. Hamas walipovamia Israel walikua wanalipa kisasi na hajaua watoto. Lkn marekani na Israel baada kupigana na hamas anapigana na watoto wa changa. Hivi vita ni vya kidini dhidi ya waislam duniani
Huna lolote unaongozwa na mapenzi yako kwa Israel The real situation in the battlefield ni tofauti. Wabongo wengi hamjui vita ni nini mnaongozwa na ushabiki tu.Iran kawaingiza cha Kike Hamas, kawapa Silaha, kawaambia Lianzisheni then mimi ntaingilia kati, safari hii, lazima tuifute Israel, Baada ya Mashambulizi kuanza...!
Marekani kwa kujua kila Mipango ilopangwa na Irani, alichofanya akasogeza lile Dude lake la Baharini, linaloweza kuifanya Bahari kuwa nchi Kavu!
Kinachoendelea ni Iran kubweka kama Mbwa Koko kila siku.
Israel ni taifa la kigaidi,kibaraka wa Marekani na Uingereza
Hawana nguvu hiyo mnayowasifia,ni vile wanapigana na raia wasio na silaha.
Mungu wa Israel hii hawezi kuwa mungu tunayemuabudu
Mkuki kwa nguruwe........!!!Njia pekee ya Israel kujilinda kwa sasa ni kutoa DOZI
Nakumbuka siku ya kwanza Israel ilipovamiwa, Hamas waliitwa kila aina ya majina ya kishujaa na shangwe zilipigwa sana kiasi kwamba watu hawa walianza kuota ndoto za mchana kwamba Israel inaenda kumezwa ?
Hali ya sasa ni tofauti kabisa, watu hao hao walioshabilia Hamas kuua na kuchukua mateka, Leo hii wanalalamika wanaonewa na nguvu kubwa inatumika kuomba vita iishe (cease fire).
Mkuu sio asilimia 20 bali 18.Ungekuwa naufaham wa angalau kutofautisha kati ya Hamas na Palestina Ungejua kuwa ulicho andika hakina umuhimu wowote
Kwa kukusaidia tu, Nguvu inatumika kuomba Marekani ambaye ndiye anawasaidia Waisrael waache kuua Wapelestina wasiokuwa na hatia...
Nyongeza: Waisrael 20% ni Waislam na waliobakia ni Jewish/ hakuna wakristo kule au niseme ni kwenye 1.8%
Walaumu hamas wanaojificha nyuma ya watoto wakiogopa risasi nagwa.Itakuwa mfayagia Kanisa wewe. Hamas walipovamia Israel walikua wanalipa kisasi na hajaua watoto. Lkn marekani na Israel baada kupigana na hamas anapigana na watoto wa changa. Hivi vita ni vya kidini dhidi ya waislam duniani
Upo sahii sababu hata allah sio mungu tunaemuabudu piaIsrael ni taifa la kigaidi,kibaraka wa Marekani na Uingereza
Hawana nguvu hiyo mnayowasifia,ni vile wanapigana na raia wasio na silaha.
Mungu wa Israel hii hawezi kuwa mungu tunayemuabudu
Jamaa kaongea ukweli iran na Hezbollah wamewadanganya hamas afu wao wapo mbaliHuna lolote unaongozwa na mapenzi yako kwa Israel The real situation in the battlefield ni tofauti. Wabongo wengi hamjui vita ni nini mnaongozwa na ushabiki tu.
Mimi simuabudu huyo allah wako,wala simuabudu mungu wa hiyo Israel yako.Upo sahii sababu hata allah sio mungu tunaemuabudu pia