Sharjah safari park, mbuga ya wanyama iliyotengenezwa UAE kudumaza utalii wa Tanzania

Kwa nini rais anapokuwa Mzanzibar huwa wanauza sehemu za bar? Enzi za Mwinyi ndipo Loliondo iliuzwa, kwa sasa wanyama wanasombwa na Lolindo wamepewa tena waarabu.

Kwa nini hawauzi Tunguu au Wete?
 
Dah Safi sana, Jamaa wanajiengeza sana, tizama jinsi ya wanavyotumia bongo zao katika kujisogeza na sisi huku tuna kila kitu ila akili ndio hazifanyi kazi.
 
Na hatimaye watawakamata wamatumbi kadhaa wakawaweke kwenye hayo maonyesho?

Lakini niseme wazi, hakuna kinachoweza kufanywa na binaadam kikawa sawa sawa na sampuli halisi ya Serengeti, Ngorongoro, au Mlima Kilimanjaro.

Mwisho wa siku, haya maonyesho ndiyo yanayoweza kuweka kichocheo cha watalii waende kuona Serengeti yenyewe, badala ya ile ya kuigiza.
 
EEEeeenHeeeeeee!

Imenibidi nirudi na kucheka saaaaana!

Hebu pata picha mwenyewe, kama haya wanayofanya hawa waarabu yangefanywa na jirani yetu hapo Kaskazini yetu!

Nadhani wakati huu tungekuwa tayari tushatangaza vita ya moto kabisa kati yetu!
 
UAE jamaa ni big minds, usishangae kwenye hizo mbuga zao zikabeba watalii wengi kuliko hizi zetu

Nyinyi wabongo endeleeni na chuki tu
 
Kuna vitu waarabu na wazungu watafanya lakini hawatakaa wafanikiwe. Mojawapo ni hiyo kutaka kuweka mbuga ya wanyama Dubai. Yaani inabidi wahakikishe hadi majira ya mwaka ya Ngorongoro na Serengeti wanahamishia huko. Wameamua tu kujidanganya.

Wameamua kujidanganya kivipi?! Unaweza kuta waarabu wanatengeneza pesa zaidi na hizo mbuga feki kuliko hata sisi wenye mbuga asili.
Akili ni nywele na kila mtu ana zake
 
Nyie watu muda wote huwa mnahisi mnaonewa. Ukimuongelea mwaarabu hapo anajua umeshaongelea dini fulani.
Hii ndiyo athari ya mtoto kumpeleka madrasa badala ya shule. Shule inasaidia sana
Huna akili, hoja yangu ilimhusu samia na michuki yenu ya kishetani dhidi yake na sio hao waarabu wako. Siijui hata sura moja kwa maana sikubahatika kupitia madrasa. Tafadhali usiitaje shule kwani kwa comment yako hii ni dhahili haujapita shule na kama umepita basi ni hawa form IV wa miaka hii ambapo hata mwenye F ya hesabu Ana division I.

Acha UNAFIKI kwani haihitajiki hata sekunde moja kuelewa uelekeo wa mtoa mada;
1. Kwanini na kwa ushahidi up umemfanya mtoa mada alazimishe kuwa wanyama waliopo kwenye mbuga hiyo wametoka hapa tz?
2. Amesema nini kuhusu zoos zingine zilizopo maeneo tofauti na ya waarabu? Wapo wanaofahamu na wamemtajia hadi majina na nchi zilizopo. Huko kuna wanyama tofauti na waliopo hapa au huko uarabuni?
3. We ni mgeni zaidi yangu nn humu?!!!! Soma comments zaidi za wenzio hjmu ndo utaelewa (hata kama kimya kimya moyoni mwenu)
 
Naona mlamba asali umekuja
 
Wameamua kujidanganya kivipi?! Unaweza kuta waarabu wanatengeneza pesa zaidi na hizo mbuga feki kuliko hata sisi wenye mbuga asili.
Akili ni nywele na kila mtu ana zake
Kutengeneza pesa siwezi pinga ila sio kwamba ndo wataua mbuga zetu na watalii kwenda huko kwao. Hilo kamwe haliwezekani. Ile wildbeest migration ya Serengeti wataweza kuihamishia kwao? Lile bonde na mandhari ya Ngorongoro wataweza kuitengeneza? Olduvai kwenye moving sand? Gombe? ....muhimu tu ni sisi kumshukuru tu Mungu kwa hii bahati na kutumia vizuri utajiri wa asili tuliopewa. Sisi tukipewa Dubai halafu Dubai wakapewa Tanzania nadhani itachukua miaka mitano tu waarabu kuwa mara elfu ya Dubai ya sasa.
 
Akili Huna kabisa hata kidogo
Hatufanani ufahamu na maarifa mkuu, toka lini mwehu akajijua yeye ni chizi? Nae anajua kuwa ni mkamilifu.
Naona mlamba asali umekuja
Silambi asali mkuu. Huwa nafuatilia vipindi vya wanyama hususani hiyo Disney Zoo kwa miaka mingi. Sikuwahi kuona effect yoyote zaidi iliwafanya wazungu watake kujua zaidi kuhusu Serengeti
 
Umenichekesha sana. Katika siku ambayo nimecheka ni leo niliposoma hii comnent yako.
Ha ha ha ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…