Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamanga wanajuwa kujitangaza kiutalii yani saivi ukienda UAE kila kitu unakipata.
Na hatimaye watawakamata wamatumbi kadhaa wakawaweke kwenye hayo maonyesho?Waarabu wanaua mbuga zetu kwa kasi sasa hivi mtu akiwa zake mapumziko Dubai hana haja ya kuja Tz anaenda zake Sharjah safari park anaona wanyama wote waliopo hapa
Pia jamaa wameamua pia majina ya Tanzania kuyahamishia huko mfano
Kuna Serengeti kuna Ngorongoro
Kuna mji umejengwa kama Zanzibar na umeitwa hivo magari ya watalii pia yamejazana huko hatma yetu kama taifa sijui ipo wapi upande wa utalii
Wamejenga mpaka yale madaraja ya kamba kama ya lake Manyara.
View attachment 2462127View attachment 2462128View attachment 2462129View attachment 2462130View attachment 2462131View attachment 2462132View attachment 2462133
EEEeeenHeeeeeee!Waarabu wanaua mbuga zetu kwa kasi sasa hivi mtu akiwa zake mapumziko Dubai hana haja ya kuja Tz anaenda zake Sharjah safari park anaona wanyama wote waliopo hapa
Pia jamaa wameamua pia majina ya Tanzania kuyahamishia huko mfano
Kuna Serengeti kuna Ngorongoro
Kuna mji umejengwa kama Zanzibar na umeitwa hivo magari ya watalii pia yamejazana huko hatma yetu kama taifa sijui ipo wapi upande wa utalii
Wamejenga mpaka yale madaraja ya kamba kama ya lake Manyara.
View attachment 2462127View attachment 2462128View attachment 2462129View attachment 2462130View attachment 2462131View attachment 2462132View attachment 2462133
Kuna vitu waarabu na wazungu watafanya lakini hawatakaa wafanikiwe. Mojawapo ni hiyo kutaka kuweka mbuga ya wanyama Dubai. Yaani inabidi wahakikishe hadi majira ya mwaka ya Ngorongoro na Serengeti wanahamishia huko. Wameamua tu kujidanganya.
Huna akili, hoja yangu ilimhusu samia na michuki yenu ya kishetani dhidi yake na sio hao waarabu wako. Siijui hata sura moja kwa maana sikubahatika kupitia madrasa. Tafadhali usiitaje shule kwani kwa comment yako hii ni dhahili haujapita shule na kama umepita basi ni hawa form IV wa miaka hii ambapo hata mwenye F ya hesabu Ana division I.Nyie watu muda wote huwa mnahisi mnaonewa. Ukimuongelea mwaarabu hapo anajua umeshaongelea dini fulani.
Hii ndiyo athari ya mtoto kumpeleka madrasa badala ya shule. Shule inasaidia sana
Etwege punguza wivu kwa Lisu.Hiyo ndiyo furaha ya Lisu
Maana ukipinga atakwambia utashitakiwa MIGA
Naona mlamba asali umekujaKuna bustani za wanyama ( zoo) nyingi duniani tena kubwa ikiwemo Disney nazo zinatumia majina ya Mbuga za Wanyama Afrika ukiwemo hilo la Serengeti lakini hazijawahi kuathiri utalii wetu. Zaidi ni advantage kwetu kwa kutangaza vivutio vyetu.
Kuna watu wanaopenda kuona Wanyama katika mazingira halisi sio hayo ya kufungiwa.
Kutengeneza pesa siwezi pinga ila sio kwamba ndo wataua mbuga zetu na watalii kwenda huko kwao. Hilo kamwe haliwezekani. Ile wildbeest migration ya Serengeti wataweza kuihamishia kwao? Lile bonde na mandhari ya Ngorongoro wataweza kuitengeneza? Olduvai kwenye moving sand? Gombe? ....muhimu tu ni sisi kumshukuru tu Mungu kwa hii bahati na kutumia vizuri utajiri wa asili tuliopewa. Sisi tukipewa Dubai halafu Dubai wakapewa Tanzania nadhani itachukua miaka mitano tu waarabu kuwa mara elfu ya Dubai ya sasa.Wameamua kujidanganya kivipi?! Unaweza kuta waarabu wanatengeneza pesa zaidi na hizo mbuga feki kuliko hata sisi wenye mbuga asili.
Akili ni nywele na kila mtu ana zake
Hatufanani ufahamu na maarifa mkuu, toka lini mwehu akajijua yeye ni chizi? Nae anajua kuwa ni mkamilifu.Akili Huna kabisa hata kidogo
Silambi asali mkuu. Huwa nafuatilia vipindi vya wanyama hususani hiyo Disney Zoo kwa miaka mingi. Sikuwahi kuona effect yoyote zaidi iliwafanya wazungu watake kujua zaidi kuhusu SerengetiNaona mlamba asali umekuja
Kila kitu lazima umtie Lissu hata mkeo akikujisea utasema Lissu kasababisha.Hiyo ndiyo furaha ya Lisu
Maana ukipinga atakwambia utashitakiwa MIGA
Nilitaka kuuliza suali hilo kwani ni sisi peke yetu wenye wanyama hawa?Kwa hiyo ww Kwa akili Yako twiga tembo wapo Tanzania tu
Umenichekesha sana. Katika siku ambayo nimecheka ni leo niliposoma hii comnent yako.Huna akili, hoja yangu ilimhusu samia na michuki yenu ya kishetani dhidi yake na sio hao waarabu wako. Siijui hata sura moja kwa maana sikubahatika kupitia madrasa. Tafadhali usiitaje shule kwani kwa comment yako hii ni dhahili haujapita shule na kama umepita basi ni hawa form IV wa miaka hii ambapo hata mwenye F ya hesabu Ana division I.
Acha UNAFIKI kwani haihitajiki hata sekunde moja kuelewa uelekeo wa mtoa mada;
1. Kwanini na kwa ushahidi up umemfanya mtoa mada alazimishe kuwa wanyama waliopo kwenye mbuga hiyo wametoka hapa tz?
2. Amesema nini kuhusu zoos zingine zilizopo maeneo tofauti na ya waarabu? Wapo wanaofahamu na wamemtajia hadi majina na nchi zilizopo. Huko kuna wanyama tofauti na waliopo hapa au huko uarabuni?
3. We ni mgeni zaidi yangu nn humu?!!!! Soma comments zaidi za wenzio hjmu ndo utaelewa (hata kama kimya kimya moyoni mwenu)