Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,180
- 7,346
Alikuwa X-boy wangu best.
Japo kama ujuavyo,mahawara hawaachani.
Aisee pole sanaaa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa X-boy wangu best.
Japo kama ujuavyo,mahawara hawaachani.
Kuna watu mna mambo ya ajabu sana mna like taarifa za msiba huu ni USHAMBAA
Alikuwa X-boy wangu best.
Japo kama ujuavyo,mahawara hawaachani.
Kuna watu mna mambo ya ajabu sana mna like taarifa za msiba huu ni USHAMBAA
ebo..!
Ooh My god RIP X shemeji
Kila mtu ameumia sana kwa namna moja ama nyingine..
no way, nilikuwa nampenda sababu ya watoto kupenda tangazo lake.
rip sharo
Ni kweli badungu home boy amefariki dunia kwa ajali eneo la maguzoni.
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Ameen
Isije lakini ikawa umempiga kipapai baada ya kukutema...lol
hatu like msiba,
tunampa like mleta habari kwa kutujuza.
Hv mchina hana like maana watu roho zawauma.
sasa ile pole uliyokuwa unanipa ilikuwa ya nini?
Me mwanamke naye mwanaume,kwani haiwezekani au kwa kuwa msanii?