johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Unadhani kukubali kutoka bungeni ni jambo rahisi namna hiyo?..Mbowe angekuwa ndio kawa-sponsor basi kina Halima wangekuwa loyal kwake na wangekubali kutoka bungeni.
Cc The Palm Beach
Wewe ni Mnyika?!!..Ni maelewano kati ya serikali na wahusika 19 waliokwenda bungeni.
..kamati kuu ya Chadema haikuhusika, Katibu haku-forward majina, na Nec haikuhusika.
Unadhani kukubali kutoka bungeni ni jambo rahisi namna hiyo?
Muulize Cecil Mwambe atakujuza!
Daktari Mahera atazitoa hizo fomu mahakamani
Mnyika: akina Halima Mdee waliingizwa bungeni na Mfumo hivyo Mfumo huo huo utumike kuwaondoa...kama ulifuatilia Cecil Mwambe alivyorudishwa bungeni basi utaelewa kina Halima waliingiaje bungeni.
Dr Mahera ni Mwanasheria anapajua.mahali sahihi pa kuzitolea hizo fomu..Daktari Mahera ni kada wa Ccm kukuzidi wewe.
..angekuwa na hizo fomu angeishazitoa kuwatetea kina Halima.
..Kamati kuu haikutoa ridhaa kina Halima wawe wabunge.
..Na Mnyika amekana kusaini fomu za Nec.
Mnyika: akina Halima Mdee waliingizwa bungeni na Mfumo hivyo Mfumo huo huo utumike kuwaondoa.
Huenda Mnyika alilazimishwa kusaimi zile fomu alizompelekea Dr Mahera pale NEC
Lakini fomu zilizosainiwa na Mnyika ziko NEC!..kina Halima hawakuhitaji kusumbuka kujaza fomu, waliapishwa kwa maagizo tu.
..Na Mnyika amesema hajawahi kujaza fomu za Nec kwa ajili ya Halima na wenzake.
Dr Mahera ni Mwanasheria anapajua.mahali sahihi pa kuzitolea hizo fomu
Ndio sababu Halima Mdee ameiomba Mahakama iwaruhusu waeleze kilichotokea!
Hahaha........ Halima Mdee anawachora tu!..Mahera hana fomu na hakuhusika.
Lakini fomu zilizosainiwa na Mnyika ziko NEC!
Kwanini hawataki kutoka CHADEMA?
Ndugai: Mimi Nililetewa majina 19 ya wabunge wa Chadema kutoka NEC na huo ndio utaratibu kwa mujibu wa katiba ya JMT..hakuna hizo fomu.
..hazikuhitajika kuwaapisha kina Halima.
Dr Mahera alisema orodha ya wabunge 19 wa Chadema ililetwa na KM wa Chadema mh John Mnyika
Kibatala huwa anamwamkia Mahera!Huyo mapesa ni ktk watu weupe kabsa,yaan mbugila
Kibatala huwa anamwamkia Mahera!
Unadhani au una hakika na usemalo kuwa sheria zetu ikiwemo katiba ya JMT - 1977 hazitoi utaratibu wa upatikanaji wa VM..?Katiba ya JMT haijataja utaratibu maalumu wa kuwapata wabunge Wanawake wa viti maalumu
Hivyo kila chama kina utaratibu wake
Kwahiyo swala la akina Halima Mdee na wenzake ni la Chadema zaidi kuliko Bunge na NEC
Ndugai: Mimi Nililetewa majina 19 ya wabunge wa Chadema kutoka NEC na huo ndio utaratibu kwa mujibu wa katiba ya JMT
Spika mstaafu mzee Ndugai alishalifafanua hilo kitambo!
Kwani utaratibu wa CCM na Chadema kupata wabunge wa viti maalumu inafanana?Unadhani au una hakika na usemalo kuwa sheria zetu ikiwemo katiba ya JMT - 1977 hazitoi utaratibu wa upatikanaji wa VM..?
After all, CHADEMA, hawashughuliki na ubunge wa COVID - 19. Wanashughulika na welfare za chama na wanachama wao...
Hayo ya ubunge wa kinamama hawa, wanaohangaika ni nyie CCM na ndiyo maana wakatumia njia ovu kuwafanya wabunge na sasa linawarudi...!!
Nusrat Henje alikuwa mfungwa?..Ni uongo.
..hizo fomu inabidi zipitie kwa HAKIMU ili mhusika ale KIAPO.
..Na ukiangalia tarehe wanazodai Nec iliwateua Nusrat Hanje alikuwa magereza hivyo asingeweza kujaza fomu na kula kiapo mbele ya hakimu.
..Ndiyo maana nime-conclude kwamba suala la fomu halipo, na Nec haikuhusika.