Shauri Na. 36/2022 la Halima Mdee na wenzake 18 dhidi ya CHADEMA, Spika wa Bunge la JMT & NEC. Ni nini madai yao?

Daktari Mahera atazitoa hizo fomu mahakamani

..Daktari Mahera ni kada wa Ccm kukuzidi wewe.

..angekuwa na hizo fomu angeishazitoa kuwatetea kina Halima.

..Kamati kuu haikutoa ridhaa kina Halima wawe wabunge.

..Na Mnyika amekana kusaini fomu za Nec.
 
..kama ulifuatilia Cecil Mwambe alivyorudishwa bungeni basi utaelewa kina Halima waliingiaje bungeni.
Mnyika: akina Halima Mdee waliingizwa bungeni na Mfumo hivyo Mfumo huo huo utumike kuwaondoa.

Huenda Mnyika alilazimishwa kusaimi zile fomu alizompelekea Dr Mahera pale NEC
 
..Daktari Mahera ni kada wa Ccm kukuzidi wewe.

..angekuwa na hizo fomu angeishazitoa kuwatetea kina Halima.

..Kamati kuu haikutoa ridhaa kina Halima wawe wabunge.

..Na Mnyika amekana kusaini fomu za Nec.
Dr Mahera ni Mwanasheria anapajua.mahali sahihi pa kuzitolea hizo fomu

Ndio sababu Halima Mdee ameiomba Mahakama iwaruhusu waeleze kilichotokea!
 
Mnyika: akina Halima Mdee waliingizwa bungeni na Mfumo hivyo Mfumo huo huo utumike kuwaondoa.

Huenda Mnyika alilazimishwa kusaimi zile fomu alizompelekea Dr Mahera pale NEC

..kina Halima hawakuhitaji kusumbuka kujaza fomu, waliapishwa kwa maagizo tu.

..Na Mnyika amesema hajawahi kujaza fomu za Nec kwa ajili ya Halima na wenzake.
 
Lakini fomu zilizosainiwa na Mnyika ziko NEC!
 
..hakuna hizo fomu.

..hazikuhitajika kuwaapisha kina Halima.
Ndugai: Mimi Nililetewa majina 19 ya wabunge wa Chadema kutoka NEC na huo ndio utaratibu kwa mujibu wa katiba ya JMT

Spika mstaafu mzee Ndugai alishalifafanua hilo kitambo!
 
Katiba ya JMT haijataja utaratibu maalumu wa kuwapata wabunge Wanawake wa viti maalumu

Hivyo kila chama kina utaratibu wake

Kwahiyo swala la akina Halima Mdee na wenzake ni la Chadema zaidi kuliko Bunge na NEC
Unadhani au una hakika na usemalo kuwa sheria zetu ikiwemo katiba ya JMT - 1977 hazitoi utaratibu wa upatikanaji wa VM..?

After all, CHADEMA, hawashughuliki na ubunge wa COVID - 19. Wanashughulika na welfare za chama na wanachama wao...

Hayo ya ubunge wa kinamama hawa, wanaohangaika ni nyie CCM na ndiyo maana wakatumia njia ovu kuwafanya wabunge na sasa linawarudi...!!
 
Ndugai: Mimi Nililetewa majina 19 ya wabunge wa Chadema kutoka NEC na huo ndio utaratibu kwa mujibu wa katiba ya JMT

Spika mstaafu mzee Ndugai alishalifafanua hilo kitambo!

..Ni uongo.

..hizo fomu inabidi zipitie kwa HAKIMU ili mhusika ale KIAPO.

..Na ukiangalia tarehe wanazodai Nec iliwateua Nusrat Hanje alikuwa magereza hivyo asingeweza kujaza fomu na kula kiapo mbele ya hakimu.

..Ndiyo maana nime-conclude kwamba suala la fomu halipo, na Nec haikuhusika.
 
Unadhani au una hakika na usemalo kuwa sheria zetu ikiwemo katiba ya JMT - 1977 hazitoi utaratibu wa upatikanaji wa VM..?

After all, CHADEMA, hawashughuliki na ubunge wa COVID - 19. Wanashughulika na welfare za chama na wanachama wao...

Hayo ya ubunge wa kinamama hawa, wanaohangaika ni nyie CCM na ndiyo maana wakatumia njia ovu kuwafanya wabunge na sasa linawarudi...!!
Kwani utaratibu wa CCM na Chadema kupata wabunge wa viti maalumu inafanana?

CCM kila kitu kiko wazi tena mubashara luningani

Chadema husubiri wagombea Wanawake wakifeli majimboni ndio huandaa majina kinyemela. Kuna wakati kila kiongozi aliingiza ndugu yake mfano Lisu alimuweka dada yake, Zitto Kabwe alimuweka dada yake, Ndesamburo akamuweka mwanae na mkwewe, Dr Slaa akamuweka mzazi mwenzake na Marando akamuweka shemeji yake Chiku.

Kwa sasa CCM iko busy na katiba mpya hayo mambo ya covid 19 ni yenu huko Ufipa st!
 
..Ni uongo.

..hizo fomu inabidi zipitie kwa HAKIMU ili mhusika ale KIAPO.

..Na ukiangalia tarehe wanazodai Nec iliwateua Nusrat Hanje alikuwa magereza hivyo asingeweza kujaza fomu na kula kiapo mbele ya hakimu.

..Ndiyo maana nime-conclude kwamba suala la fomu halipo, na Nec haikuhusika.
Nusrat Henje alikuwa mfungwa?

Anayeenda kula kiapo ni mbunge mtarajiwa au Katibu mkuu?
 
Back
Top Bottom