Sheba Igangu anataka Balozi Mkubwa aliwe kichwa kama yule mdogo, wanamlazimisha atume ujumbe kule kuwa aliwaingiza chaka!

Sheba Igangu anataka Balozi Mkubwa aliwe kichwa kama yule mdogo, wanamlazimisha atume ujumbe kule kuwa aliwaingiza chaka!

Ushahidi uliopo kule ni unatosha na zaidi.

Halafu walivyo majuha, wanadhani kama aliwatafuta hao halafu aukane ushahidi alioupeleka [sio chai], wanadhani wale ni wapumbavu kama wao?

Yaani mtu aukane ushahidi wake huku yuko under duress na jamaa nao wakubali tu?

Majuha ni wengi sana kwenye hilo kundi lao.
 
JF itaanza kusakamwa sana ili iwe offline, wakishindwa kabisa kabisa, wanaweza kuleta figisufigisu ipumzike kwa muda.

Yote kwa yote, nchi haiko salama hata kidogo.

Walikua wanasingizia uhaini na uhalifu, sasa nauona kabisa mambo yatakavyobadilika na kwenda tofauti na mipango.

Balozi mkuu ana watu, ndani na nje ya mfumo.
Jeshi napo sio wote wanaokubaliana na yanayoendelea.

Bado kuna kundi halikufurahishwa na kifo cha balozi mdogo.

Haya yote ni kama bomu linalosubiri kulipuka muda wowote.

Mtawala ni kama amemeza ndoana, haimezeki wala kutemeka.
 
sasa wakimlazimisha kufanya hivyo wakati jamaa wana habari kuwa mizengwe imefanyika juu yake unadhani watakubali ku-withdrawal bacause of that statement.............akili kiduchu. after all wanajua what really happened on 29th /10/2025
 
Back
Top Bottom