Sheba Igangu anataka Balozi Mkubwa aliwe kichwa kama yule mdogo, wanamlazimisha atume ujumbe kule kuwa aliwaingiza chaka!

Sheba Igangu anataka Balozi Mkubwa aliwe kichwa kama yule mdogo, wanamlazimisha atume ujumbe kule kuwa aliwaingiza chaka!

So many blurred lines…

Shida yetu ni huu mchanganyiko wa umafioso serikalini. Watu kama wanataka kubaki na uhalifu wao wanaforce nini kuwa serikalini ? Halafu wakishapata madaraka kazi kujimilikisha mali na kuanzisha biashara 100. Lakini Mungu alivyo mkubwa greed makes them accumulate a lot quickly but they struggle to hold on to what they have grabbed — uwezo wa kuviendesha ni mdogo ndio maana hatuoni a lot of growth past the initial capital they stole to put into the said business (it remains pure money laundering — they rarely are able to get to the stage where the business turns legitimate).

Haijulikani Tanzania inaphilosophy gani za governance, hata hatueleweki, serikali ikiambiwa iheshimu demokrasia na nchi za magharibi wanajifanya wanakimbilia ukaribu zaidi na wachina na warussi.

Wachina wenyewe wanavetting process kali kuingia tu kwenye chama tawala. Wanachunguza ukoo wako mzima na kama kuna wahalifu humo hauwezi kupewa uanachama.

Hapa Tanzania je ?
 
Dada wa Taifa kila siku anasema wanajeshi walikataa amri ya kuua..ndio maana kimama anajaza nduguze Jeshini...Waliokubali amri ya kuua ni Polisi, ndugu zetu wa ng'ambo na namluki kutoka UG...

Jeshini unaambiwa kuna fuka moto
Wale waganda wameua watu sana. Walikuwa hawaulizi mara mbili. Nilikuwa eneo Moja mikoni watu walipigwa shaba sio vizuri.
 
Back
Top Bottom