ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 21,002
- 77,708
Code ngumu
Code ngumu
sasa wakimlazimisha kufanya hivyo wakati jamaa wana habari kuwa kuwa mizengwe imefanyika juu yake unadhani watakubali ku-withdrawal of that statement.............akili kiduchu. afterall wanajua what really happened on 29th /10/2025
Waganda mbona wanasema tu kwamba waliua sana. Tena wanasema wazi wazi kwa ndugu zao. Ndo maana Abdul anaenda kila mara, nadhani bado samia analipa.Wale waganda wameua watu sana. Walikuwa hawaulizi mara mbili. Nilikuwa eneo Moja mikoni watu walipigwa shaba sio vizuri.
HapaSo many blurred lines…
Shida yetu ni huu mchanganyiko wa umafioso serikalini. Watu kama wanataka kubaki na uhalifu wao wanaforce nini kuwa serikalini ? Halafu wakishapata madaraka kazi kujimilikisha mali na kuanzisha biashara 100. Lakini Mungu alivyo mkubwa greed makes them accumulate a lot quickly but they struggle to hold on to what they have grabbed — uwezo wa kuviendesha ni mdogo ndio maana hatuoni a lot of growth past the initial capital they stole to put into the said business (it remains pure money laundering — they rarely are able to get to the stage where the business turns legitimate).
Haijulikani Tanzania inaphilosophy gani za governance, hata hatueleweki, serikali ikiambiwa iheshimu democracy na nchi za magharibi wanajifanya wanakimbilia ukaribu zaidi na wachina na warussi.
Wachina wenyewe wanavetting process kali kuingia tu kwenye chama tawala. Wanachunguza ukoo wako mzima na kama una wahalifu humo hauwezi kupewa uanachama. Hapa Tanzania je ?
Kusema kweli sijui ni nani wako nyuma ya Samia. Mbona mambo yote wanayofanya ni kama wanazidi kujiangamiza badala ya kufunika uozo wao? Huyu mama ni zero kichwani hata wale wanaouza vitumbua wana uelewa mkubwa zaidi.Ushahidi uliopo kule ni unatosha na zaidi.
Halafu walivyo majuha, wanadhani kama aliwatafuta hao halafu aukane ushahidi alioupeleka [sio chai], wanadhani wale ni wapumbavu kama wao?
Yaani mtu aukane ushahidi wake huku yuko under duress na jamaa nao wakubali tu?
Majuha ni wengi sana kwenye hilo kundi lao.
Hapa Malawi ili ujoin chama tawala kigezo uwe tayari unaskendo mbovumbovu, uwe mbadhirifu uwe mweupe kichwani ila mpiga domo na utapewa nafasi za juu
Hapa
Hakika tumekuwa mateka wakakikundi cha wa huni in slowslow's wordsSheba wa Igangu ni mpuuzi sana anapendekeza Balozi mkubwa aliwe kichwa kama mdogo alivyouwawa? Yuko Malawi wamamtia kufuli.
Mapendekezo ni Mawili kuwa Afungwe au awe apigwe kufuli kwake! Cha Kushangaza hata mke wake ameshindwa kuonana naye ameoanana na mwakilishi Mmoja tu Wa ndugu. Account zake zimewekwa kufuli.
Passport wechukua, hata yule mzee kipindi anapiga Simu Ilikuwa tayari mikononi mwa wenyewe!
Ushahidi alotuma kule ni mzito sana eti wanamlazimisha atengue aseme aliwaingiza chaka, zimetumwa sauti kusema mambo yalikuwa shwari, hakuna aliyechafua mikono yake! Yule anaefufua watu naye inaweza isifike ijumaa akavuliwa nyavuni.
Kilichosikitisha wanajua kabisa kuwa Balozi mdogo aliliwa kichwa na order maalumu sababu ya kuweka siri nyingi hadharani kwamba alikiuka miiko ya siri zao za kazi.
Britanicca
Kwa tabu sana2030 tutafika kweli .
Kwa hizi zama sitashangaa sana kama ghafla nitasikia matangazo ya vyombo vya habari yamekatishwa na wimbo wa Taifa, na tamko kali la kuweka nchi sawa litoke. Narudia, sitashangaa hata kidogo.Hawa watu unafikiri wanatumia akili? Si unaona wanavyopeleka mambo kienteji kienyeji?
Ila naona kuna genge linataka SSH afike hapa, akose pa kushika ili aendelee kuwategemea na wao waendeleze ajenda zao. Kwa ufupu wao ndio wanaanza kuamua mambo yaende vipi.
Hapo kuanzia mikataba, rasirimali, uwekezaji, kwa ufupi watapotezwa watu wote wanaoonekana kua tishio kwenye maslahi yao.
Kujinasua hapo inawezekana ila kwa gharama kubwa sana.
Hii awamu hata mwaka mmoja haujaisha lakini vurumai zake balaa.
Ilikuwa kosa kubwa sanaHakuna kitu tulikosea kama kumpa Magu nchi 2015.
Wewe umenielewa vizuri.Kwa hizi zama sitashangaa sana kama ghafla nitasikia matangazo ya vyombo vya habari yamekatishwa na wimbo wa Taifa, na tamko kali la kuweka nchi sawa litoke. Narudia, sitashangaa hata kidogo.
Kwani hao aliowatumia ushahidi mzito, hawajui kama kawekwa kizuizini kwa tarifa zivyosambaa Duniani?Sheba wa Igangu ni mpuuzi sana anapendekeza Balozi mkubwa aliwe kichwa kama mdogo alivyouwawa? Yuko Malawi wamamtia kufuli.
Mapendekezo ni Mawili kuwa Afungwe au awe apigwe kufuli kwake! Cha Kushangaza hata mke wake ameshindwa kuonana naye ameoanana na mwakilishi Mmoja tu Wa ndugu. Account zake zimewekwa kufuli.
Passport wechukua, hata yule mzee kipindi anapiga Simu Ilikuwa tayari mikononi mwa wenyewe!
Ushahidi alotuma kule ni mzito sana eti wanamlazimisha atengue aseme aliwaingiza chaka, zimetumwa sauti kusema mambo yalikuwa shwari, hakuna aliyechafua mikono yake! Yule anaefufua watu naye inaweza isifike ijumaa akavuliwa nyavuni.
Kilichosikitisha wanajua kabisa kuwa Balozi mdogo aliliwa kichwa na order maalumu sababu ya kuweka siri nyingi hadharani kwamba alikiuka miiko ya siri zao za kazi.
Britanicca
Hao wanajeshi ni wapumbafu hata usiwataje hapaDada wa Taifa kila siku anasema wanajeshi walikataa amri ya kuua..ndio maana kimama anajaza nduguze Jeshini...Waliokubali amri ya kuua ni Polisi, ndugu zetu wa ng'ambo na namluki kutoka UG...
Jeshini unaambiwa kuna fuka moto
Geuza silabi hizo.sasa hii code nani ataifungua maana hana kiashiria chchote common to all...
Kwani hao aliowatumia ushahidi mzito, hawajui kama kawekwa kizuizini kwa tarifa zivyosambaa Duniani?
Geuza silabi kisha mtafute jina mwakilishi wa zamani wa mjengoni wa eneo hilo kule kwa chief Kimweri sijui Mtemi Milambo kwenye nchi ya asali na Cuban cigars.sasa hii code nani ataifungua maana hana kiashiria chchote common to all...
labda kuna masharti tisi ukitoa siri au kwenda kinyume nao ushughulikiwe, ni mambo ya viapo hayaEeeeh kimeumana eeeeh lakini huwa nasikia wote ni tisiii au nguvu huzidiana au ndio ile mikataba ya gizan
mambo ni shwari mjuba, we umeona kuna dalili gani?Kwa hizi zama sitashangaa sana kama ghafla nitasikia matangazo ya vyombo vya habari yamekatishwa na wimbo wa Taifa, na tamko kali la kuweka nchi sawa litoke. Narudia, sitashangaa hata kidogo.