Sheba Igangu anataka Balozi Mkubwa aliwe kichwa kama yule mdogo, wanamlazimisha atume ujumbe kule kuwa aliwaingiza chaka!

Sheba Igangu anataka Balozi Mkubwa aliwe kichwa kama yule mdogo, wanamlazimisha atume ujumbe kule kuwa aliwaingiza chaka!

Wewe umenielewa vizuri.

Hata hao ambao wanafikiri wanapeleka mambo kama wanavyotaka, hawako salama sana.

Nchi iko katika kipindi cha mvurugano na gharika kali. Kuelekea mwaka 1 wa kumbukumbu za Oct 29, vitu vingi sana vitatokea hapa katikati.

Bado maazimisho ya hiyo siku pia hatapelekea baadhi ya watu kufanya kazi ya ziada.
Ukicheki vizuri nchi toka 29 oct nikama imesimama
 
JF itaanza kusakamwa sana ili iwe offline, wakishindwa kabisa kabisa, wanaweza kuleta figisufigisu ipumzike kwa muda.

Yote kwa yote, nchi haiko salama hata kidogo.

Walikua wanasingizia uhaini na uhalifu, sasa nauona kabisa mambo yatakavyobadilika na kwenda tofauti na mipango.

Balozi mkuu ana watu, ndani na nje ya mfumo.
Jeshi napo sio wote wanaokubaliana na yanayoendelea.

Bado kuna kundi halikufurahishwa na kifo cha balozi mdogo.

Haya yote ni kama bomu linalosubiri kulipuka muda wowote.

Mtawala ni kama amemeza ndoana, haimezeki wala kutemeka.
Huyu atakua anajiandaa kujiongezea muda wa kukaa jumba jeupe. Sioni wapi anapata nguvu ya kuwa salama baada ya 2030 zaidi ya yeye kuendelea kukalia kiti
 
Huyu atakua anajiandaa kujiongezea muda wa kukaa jumba jeupe. Sioni wapi anapata nguvu ya kuwa salama baada ya 2030 zaidi ya yeye kuendelea kukalia kiti

Kwa hali ilivyo, hata hiyo 2030 inawezageuka miujiza.

Nafikiri ndio maana hawakumtaka EN kwa vile anaharibu maslahi ya watu, huyu wa sasa hivi ni wao, chochote kikitokea, bado atasogea pale juu.
 
Huyo ni team Rost zilizotamu sana ! Hivyo kama unajua chain ya sheba! Na zilizotamu ni ndugu wa Tabia
Dah! hatari kama ni hivyo. Nilishangaa Sheba ana ranch ya ngombe kwa maelfu na kiwanda cha kusindika maziwa. Nimefika sikuamini kama ana uwezo wa kuwekeza in a multi billion if not trillions dairy industry! britanicca
 

Attachments

  • kitu hicho.mp4
    5.2 MB
Sheba wa Igangu ni mpuuzi sana anapendekeza Balozi mkubwa aliwe kichwa kama mdogo alivyouwawa? Yuko Malawi wamamtia kufuli.

Mapendekezo ni Mawili kuwa Afungwe au awe apigwe kufuli kwake! Cha Kushangaza hata mke wake ameshindwa kuonana naye ameoanana na mwakilishi Mmoja tu Wa ndugu. Account zake zimewekwa kufuli.

Passport wechukua, hata yule mzee kipindi anapiga Simu Ilikuwa tayari mikononi mwa wenyewe!

Ushahidi alotuma kule ni mzito sana eti wanamlazimisha atengue aseme aliwaingiza chaka, zimetumwa sauti kusema mambo yalikuwa shwari, hakuna aliyechafua mikono yake! Yule anaefufua watu naye inaweza isifike ijumaa akavuliwa nyavuni.

Kilichosikitisha wanajua kabisa kuwa Balozi mdogo aliliwa kichwa na order maalumu sababu ya kuweka siri nyingi hadharani kwamba alikiuka miiko ya siri zao za kazi.

Britanicca
Hata wao wataanguka tu, hawana maisha hao wauaji.
 
Ushahidi uliopo kule ni unatosha na zaidi.

Halafu walivyo majuha, wanadhani kama aliwatafuta hao halafu aukane ushahidi alioupeleka [sio chai], wanadhani wale ni wapumbavu kama wao?

Yaani mtu aukane ushahidi wake huku yuko under duress na jamaa nao wakubali tu?

Majuha ni wengi sana kwenye hilo kundi lao.
Nilikuwa najiuliza hivyo pia.Kwamba wao hawatajua kama jamaa yupo under arrest?.Kdogo angekana akiwa bado madarakani.
 
Back
Top Bottom