Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Uonevuu, hii nchi muda si mrefu itakua chini ya GSM.Askofu hakuwapigia ila wao ndio waliompigia. Sasa wamkamate ana kosa gani?
Uonevuu, hii nchi muda si mrefu itakua chini ya GSM.Askofu hakuwapigia ila wao ndio waliompigia. Sasa wamkamate ana kosa gani?
Unaambiwa viongozi wa juu sio wote ndio waliowauza askari na maafisa wadogo ambao tayari walikuwa wameshaungana na wananchi ile Oct 29.....Mkuu alishauriwa achukue nchi ila pesa alizopewq zilikuwa ndefu sana
Ngoma bado mbichi
Sheba wa Igangu ni mpuuzi sana anapendekeza Balozi mkubwa aliwe kichwa kama mdogo alivyouwawa? Yuko Malawi wamamtia kufuli.
Mapendekezo ni Mawili kuwa Afungwe au awe apigwe kufuli kwake! Cha Kushangaza hata mke wake ameshindwa kuonana naye ameoanana na mwakilishi Mmoja tu Wa ndugu. Account zake zimewekwa kufuli.
Passport wechukua, hata yule mzee kipindi anapiga Simu Ilikuwa tayari mikononi mwa wenyewe!
Ushahidi alotuma kule ni mzito sana eti wanamlazimisha atengue aseme aliwaingiza chaka, zimetumwa sauti kusema mambo yalikuwa shwari, hakuna aliyechafua mikono yake! Yule anaefufua watu naye inaweza isifike ijumaa akavuliwa nyavuni.
Kilichosikitisha wanajua kabisa kuwa Balozi mdogo aliliwa kichwa na order maalumu sababu ya kuweka siri nyingi hadharani kwamba alikiuka miiko ya siri zao za kazi.
Britanicca
Huyo mpya ni mtu wao 100%. Yule ni checkbob, ulevi wake ni wanawake na ufahari wa kumiliki mali. Amewekwa pale kwa mkakati maalum.
So who is surely safe now???
Sheba wa Igangu ni mpuuzi sana anapendekeza Balozi mkubwa aliwe kichwa kama mdogo alivyouwawa? Yuko Malawi wamamtia kufuli.
Mapendekezo ni Mawili kuwa Afungwe au awe apigwe kufuli kwake! Cha Kushangaza hata mke wake ameshindwa kuonana naye ameoanana na mwakilishi Mmoja tu Wa ndugu. Account zake zimewekwa kufuli.
Passport wechukua, hata yule mzee kipindi anapiga Simu Ilikuwa tayari mikononi mwa wenyewe!
Ushahidi alotuma kule ni mzito sana eti wanamlazimisha atengue aseme aliwaingiza chaka, zimetumwa sauti kusema mambo yalikuwa shwari, hakuna aliyechafua mikono yake! Yule anaefufua watu naye inaweza isifike ijumaa akavuliwa nyavuni.
Kilichosikitisha wanajua kabisa kuwa Balozi mdogo aliliwa kichwa na order maalumu sababu ya kuweka siri nyingi hadharani kwamba alikiuka miiko ya siri zao za kazi.
Britanicca
sasa hii code nani ataifungua maana hana kiashiria chchote common to all...
Kijana mtiifu wa mamvi,mgomvi mkubwa wa yule ngosha aliyepigwa pini kugombea kupitia zambarau.Niandikie jina mimi nimeshindwa kung'amua
Hadi sasa sijajua kwa nini Gwajima anaishi nchini..Sheba wa Igangu ni mpuuzi sana anapendekeza Balozi mkubwa aliwe kichwa kama mdogo alivyouwawa? Yuko Malawi wamamtia kufuli.
Mapendekezo ni Mawili kuwa Afungwe au awe apigwe kufuli kwake! Cha Kushangaza hata mke wake ameshindwa kuonana naye ameoanana na mwakilishi Mmoja tu Wa ndugu. Account zake zimewekwa kufuli.
Passport wechukua, hata yule mzee kipindi anapiga Simu Ilikuwa tayari mikononi mwa wenyewe!
Ushahidi alotuma kule ni mzito sana eti wanamlazimisha atengue aseme aliwaingiza chaka, zimetumwa sauti kusema mambo yalikuwa shwari, hakuna aliyechafua mikono yake! Yule anaefufua watu naye inaweza isifike ijumaa akavuliwa nyavuni.
Kilichosikitisha wanajua kabisa kuwa Balozi mdogo aliliwa kichwa na order maalumu sababu ya kuweka siri nyingi hadharani kwamba alikiuka miiko ya siri zao za kazi.
Britanicca
Tuelewane jamani! Humu tupo watu wa aina tofauti kama darasani, wengine akili zetu ni za kutafuniwa sisi tunameza tu.Kijana mtiifu wa mamvi,mgomvi mkubwa wa yule ngosha aliyepigwa pini kugombea kupitia zambarau.
Au tuseme yule jamaa aliyetupiga kwenye kuingiza mtibwa na kagera au kilombero.
Bosi wake pia ana chimbo kali sana la kula Roast tamu pale mtoni kwa Azizi Ali.
Utanifanya nitekwe ...Niandikie jina mimi nimeshindwa kung'amua
Zambarau ACT wazalendoTuelewane jamani! Humu tupo watu wa aina tofauti kama darasani, wengine akili zetu ni za kutafuniwa sisi tunameza tu.
Mimi sijamjua
WahuniHivi Tanzania ina serikali au ina genge??
Duuh au unatuset babu?😁Tuelewane jamani! Humu tupo watu wa aina tofauti kama darasani, wengine akili zetu ni za kutafuniwa sisi tunameza tu.
Mimi sijamjua
Kuna mtu wa busara fulanni (amestaafu yapata miaka 15 utumishi wa umma). Anasema bi msumi uwezo mdogo na wanaomucontrol wanajua uwezo wake mdogo, wanachofanya wanatengeneza mpango mkakati wa wao mtandao wao kubaki ikulu miaka mingi. Nilimuuliza kivipi? Akajibu, itafika wakati huyu mama atanuka kila mahala hatatakiwa zaidi ya genge la watu wachache ambae ndo wasukuma kete. Ikifika hatua hii mwaka 2030 atakapostaafu hili genge litamuambia mama umeharibu na una maadui wengi sana ili uwe salama hakikisha mrithi wako anatoka ktk circle yetu (possible watamuandalia mpaka mtu wa kumrithi). Na huyo mama ataingiwa mcheche kuwa kweli nikichanga karata vibaya za mrithi naweza kuwa hatarini sana mimi na kizazi changu. Yule mzee akamaliza kwa kusema 2030 ccm wakiiweka nchi mbele wataweza zuia hili jaribio, wakiweka matumbo mbele basi kikundi cha wahuni wachache kitatuwekea tena rais
Niandikie jina mimi nimeshindwa kung'amua
Kichwa changu leo kizitoKabisaa umeshindwa kutoa lock ya code? 😂😂😂
Jeshi lipo Hilo kunafuka moto? Hawa wajeda wenye njaa na mikopo kibao wakipata mshahara unaisha sku 3? Hakuna mwenye uwezo wa kutoa hata sauti!
Njaa tu na jana wamepandishwa cheo majenerali kibao kuwanyamazisha!