HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,321
- 103,590
Wahuni wale wataleta udini ili tugombane kidiniKwa wanayofanya CCM siku tukiingia kwenye machafuko yatakua mabaya zaidi hayajawahi shuhudiwa sehemu yoyote Afrika.
Watu wana
Wahuni wale wataleta udini ili tugombane kidiniKwa wanayofanya CCM siku tukiingia kwenye machafuko yatakua mabaya zaidi hayajawahi shuhudiwa sehemu yoyote Afrika.
Watu wana
Kuna mtu wa busara fulanni (amestaafu yapata miaka 15 utumishi wa umma). Anasema bi msumi uwezo mdogo na wanaomucontrol wanajua uwezo wake mdogo, wanachofanya wanatengeneza mpango mkakati wa wao mtandao wao kubaki ikulu miaka mingi. Nilimuuliza kivipi? Akajibu, itafika wakati huyu mama atanuka kila mahala hatatakiwa zaidi ya genge la watu wachache ambae ndo wasukuma kete. Ikifika hatua hii mwaka 2030 atakapostaafu hili genge litamuambia mama umeharibu na una maadui wengi sana ili uwe salama hakikisha mrithi wako anatoka ktk circle yetu (possible watamuandalia mpaka mtu wa kumrithi). Na huyo mama ataingiwa mcheche kuwa kweli nikichanga karata vibaya za mrithi naweza kuwa hatarini sana mimi na kizazi changu. Yule mzee akamaliza kwa kusema 2030 ccm wakiiweka nchi mbele wataweza zuia hili jaribio, wakiweka matumbo mbele basi kikundi cha wahuni wachache kitatuwekea tena raisHawa watu unafikiri wanatumia akili? Si unaona wanavyopeleka mambo kienyeji kienyeji?
Ila naona kuna genge linataka SSH afike hapa, akose pa kushika ili aendelee kuwategemea na wao waendeleze ajenda zao. Kwa ufupi wao ndio wanaanza kuamua mambo yaende vipi.
Hapo kuanzia mikataba, rasirimali, uwekezaji. Hapo watapotezwa watu wote wanaoonekana kua tishio kwenye maslahi yao.
Kujinasua hapo inawezekana ila kwa gharama kubwa sana.
Hii awamu hata mwaka mmoja haujaisha lakini vurumai zake balaa.
KOsa la Magu hapo ni nini?Hakuna kitu tulikosea kama kumpa Magu nchi 2015.
nimekupata asante...majizi tazama uwekezaji wa wizi mtupuIgunga, nyama Roast
Nakuelewa sana.Kwa hizi zama sitashangaa sana kama ghafla nitasikia matangazo ya vyombo vya habari yamekatishwa na wimbo wa Taifa, na tamko kali la kuweka nchi sawa litoke. Narudia, sitashangaa hata kidogo.
Nchi iko fragile vibaya sana. Ni kama mchezo wa chess... Usione watu wanasifiana na kukashifiana ukadhani yanatoka moyoni.mambo ni shwari mjuba, we umeona kuna dalili gani?
Kijana wake kabisa.Huyo ni team Rost zilizotamu sana ! Hivyo kama unajua chain ya sheba! Na zilizotamu ni ndugu wa Tabia
Niandikie jina mimi nimeshindwa kung'amuaGeuza silabi kisha mtafute jina mwakilishi wa zamani wa mjengoni wa eneo hilo kule kwa chief Kimweri sijui Mtemi Milambo kwenye nchi ya asali na Cuban cigars.
Yule mtunza hazina wa kale wa The Sinoloa cartels (Chama Cha Mauwaji)
bado mambo yatakuwa ni yaleyale kulingana na katiba isemavyo.Hvi siku uyu mwanamke akifa itakuaje?
Mfufua watu ni nanWatu wanasahau sana, katika mtu hawatakiwi kumgusa ni huyo wakufufua watu. Sisi tunaokaa jirani na eneo lake tunajua oktoba 29 wafuasi wake ndio walianza kukinukisha
Jeshi lipo Hilo kunafuka moto? Hawa wajeda wenye njaa na mikopo kibao wakipata mshahara unaisha sku 3? Hakuna mwenye uwezo wa kutoa hata sauti!Dada wa Taifa kila siku anasema wanajeshi walikataa amri ya kuua..ndio maana anajaza nduguze Jeshini...Waliokubali amri ya kuua ni Polisi, ndugu zetu wa ng'ambo na namluki kutoka UG...
Jeshini unaambiwa kuna fuka moto
Mkono wa baunsaMfufua watu ni nan
Askofu mfufua wafu nipo nae bega kwa bega 😔This is highly sensitive! Acha tuone kama hiyo Ijumaa ijayo ya huyo wa kanisani itafika salama.
Hatufiki2030 tutafika kweli .
Dada wa Taifa kila siku anasema wanajeshi walikataa amri ya kuua..ndio maana anajaza nduguze Jeshini...Waliokubali amri ya kuua ni Polisi, ndugu zetu wa ng'ambo na namluki kutoka UG...
Jeshini unaambiwa kuna fuka moto
Aliyepewa koti atavumilia akipewa hayo mafaili.?.
Viongozi wenzake wote damu zinawalilia.