Shehe: Hawa waarabu wamekuja kuchukua bandari yao waliyoijenga mwaka 1896 kinawauma nini?

Acha upumbavu wewe sabaya na musiba hawakukaa madhabauni kufanya upumbavu wao
 
msikilize shehe wewe mwenyewe kwenye klipu hapo chini

Dah tumekwisha wamatumbi, kifikra, kimwili na kiakili tunajiona tuna wenzetu huko mbali ulaya na mashariki ya kati huku tukidhani wale wa mbali ni ndugu zetu kutokana na imani kisha tunavurugana wenyewe hapahapa Tanzania .

Hizi dini za kuja kwa majahazi toka Mashariki ya Kati / Ghuba na baadaye kwa merikebu kutoka ulaya tunazililia sana ila tukumbuke tuna za kwetu za mizimu ya mababu, ambazo ndiyo zetu za asili bara hili afrika hususan Tanzania tusizitupe tukaishia hatupo kule wala hapa kwetu hatupo na kukosa baraka nyingi za mizimu yetu asilia na pia mizimu ya kigeni isiyo yetu ya Mashariki ya Kati pia Ulaya.
 
Wenyewe waliozianzisha walitutupia Jini tunagomaba sisi kwa sisi wao wanajali maendeleo tu.
 
Ngoja viongozi waendelee kuchukulia poa haya mambo ya kidini,mbegu inayopandwa sasa lazima itaota na itazaa!

Muda utazungumza
Kweli kabisa. Waislamu sio watu wa kuchekewa hata kidogo. Nchi nyingi zenye migogoro na machafuko ya kidini zilianzia huku huku kwenye kuchekea hii dini.

Huyu mama akiendelea hadi 2030 hivi hivi kufumbia macho hili suala litaota mizizi na matokeo yake yatakuja kuwa mabaya sana.

Serikali inatakiwa itoke hadharani kukemea huu mgawanyiko wa kidini na ule upuuzi unaoendelea kule Znz
 
Shekh Ameshindwa kujikita kwenye vifungu vya Mkataba ameisgia kutukana tu.

Huyu ngoja tumwitie Shekhe Mwaipopo amweleze vizuri kuhusu Waarabu.
 
Aisee Naanza kuona Dalili mbaya.....ingawa na Wafuasi wa Magu nao walikuwa hivi hivi pia.

Nan ndio kinamuudhi Shekhe huyo Mumanyema
 
Akili za machoko hizi
 
Sasa leo ndio nimeamini mtu akiwa na damu ya utumwa basi atakuwa mtwana daima na hiyo laana inasogea mpaka vizazi na vizazi

Haiwezekani mtu aropoke huu upuuzi kuwa waliijenga wenyewe hao waarabu, wakati walikuwa wanaegesha majahazi umbali mkubwa kabisa na hawakujenga bandari kamwe zaidi ya kushusha umbali mrefu bahari ikikupwa na kusogeza pwani mizigo na watu kwa mashua au miguu (wao wakiwa juu ya viti vilivyobebwa na watwana)


Leo hii tunasahau jinsi mababu zetu walivyoteseka wakitumikishwa kwa mijeledi bila ujira wala hiyari kufanya shughuli kwa mateso makubwa na kupitia udhalilishaji wa kila namna

Kisha zee zima ambalo linajifanya kama mbuni mchangani kusimika bichwa chini huku mwili wote nje akihisi haonekani anaropoka kuwa waarabu walijenga hiyo bandari????



Ni mwarabu gani alishika chepe na sururu kuvunja miamba au kusimika walau nguzo???


Kama sio ni waafrika wenzetu ambao kwa damu na jasho walipigika, wakateseka, na kufa kikatili na wakaishia kutupwa ufukweni pasi na kupewa hata maziko yaliyostahili???


Hawa mapunguani wenye fikra za kitumwa wananikera sana na hiyo laana itawatafuna nyie na vizazi vyenu shenz type
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…